#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers


What is virus mutation? What are the factors that trigger virus to mutate?
 
Hapa ndio utaona utafauti wa busara na akili, unaweza ukawa na akili lakini ukakosa busara, JPM alikuwa navyo vyote ndio maana aliweza kucheza karata zake majestically.
JPM hakuwahi kusema Corona haipo, bali alichotambua ni kwamba, pamoja na uwepo wa Corona, bado watu wanahitaji kula na kuishi, kibaya zaidi, mbinu walizokuwa wakizifuata nchi zingine kwa mkumbo zilikuwa zinaleta madhara makubwa zaidi kuliko ugonjwa wenyewe.
Kitendo cha kukataa kufuata mkumbo wa kifungia watu ndani kimeweza kutuhusu uchumi kuimarika kwa kasi inayohimilika hata hasa katika kipindi hiki kigumu. Pia pocha iliyokuja kudhihirika baadae ni kwamba huu ugonjwa umegeuka kuwa biashara, na watengenezaji wa chanjo na vifaa kinga walikuwa hadi wanahinga vyombo vikubwa vya habari ili kuzidi kuupaisha ugonjwa, hizi taarifa wewe huwezi kuzijua, ila yeye alikuwa nazo maana ana intellejemsia inayompelekea taarifa.
Matokeo yake tumeyaona, nchi zilizoweka Lockdown kama USA na Ulaya zimeendelea kupata maambukizi na vifo, juu ya hilo uchumi umedorora kiasi wanatoa stimulus package ya matrillion, je, Tanzania tungeweza?
Kuna magonjwa yanaua Africa kama HIV na Malaria, umeshawahi kusikia tunaoazimishwa kutoa taarifa za maambukizi kila siku? Au umesikia tunaambiwa tujifungie ndani tusing’atwe na mbu? Kwanini???!!!
Hivi mnapata faida gani mnapotoa ubongo vichwani mwenu na kujaza funza?
 
Siku zaja utaomba chanjo bila shuruti ndiyo utajua kuwa hujui!
1.) Ukishachomwa chanjo, unakuwa huwezi kuumwa tena Corona?
2.) Ukishachomwa chanjo unakuwa huwezi tena kuambukiza wengine?
3.) Ukishachomwa chanjo unaweza kuacha kuvaa barakoa?
4.) Ukishachomwa chanjo unakuwa huwezi tena kufa kwa Corona?
5.) Ukishachomwa chanjo unaruhusiwa kufanya mikusanyiko?
 
Unasema JPM hakuwahi kusema Corona haipo?!Upo serious?Ndiyo maana nilikushauri kuwa achana na hiyo kaunda ya mwalimu kwa sababu wewe ni mtu wa mizahaa!
 
Unasema JPM hakuwahi kusema Corona haipo?!Upo serious?Ndiyo maana nilikushauri kuwa achana na hiyo kaunda ya mwalimu kwa sababu wewe ni mtu wa mizahaa!View attachment 1736419
Umeona sasa kichwa chako kilivyojaa makamasi? Hivi mimi nikisema ‘Sina malaria’ maana yake ni kwamba ‘Malaria haipo?’, hivi unapata faida gani unapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?!

Elewa maana ya neno busara, mtu mzima anapokwambia tumeishinda Corona ni anatengeneza confidence miongoni mwa watu ambao tayari wameshajazwa hofu ili kurudisha imani na waweze kuendelea na shughuli zao kama kawaida. Mtu akikwambia marekani ni matajri, hamaanishi hakuna masikini...., halikadhalika kwa JPM aliposema tumeishinda Corona...., busara zero we jamaa
 
Umeona sasa kichwa chako kilivyojaa makamasi? Hivi mimi nikisema ‘Sina malaria’ maana yake ni kwamba ‘Malaria haipo?’, hivi unapata faida gani unapotoa ubongo kichwani na kujaza funza?!
🖕🖕🖕
 
Unasema JPM hakuwahi kusema Corona haipo?!Upo serious?Ndiyo maana nilikushauri kuwa achana na hiyo kaunda ya mwalimu kwa sababu wewe ni mtu wa mizahaa!View attachment 1736419

Think hapa alikuwa anaongelea ile first wave ya corona yule virus from wahun its true that version yavirus kwetu sis haikuwa threat kubwa wote tunakumbuka mwakajana mwezi 6 cases zakorona zilipungua kabisa. Nilikuwa nakaa karibu na makaburi flan watu walikuwa wanazikwa usiku vifo vilikuwa vingi but mapaka June vilipungua sana na hapo kama nakumbuka mpaka shule zilifunguliwa and hapo ndipo alipo toa hiyo kauli, baada ya new version kugunduliwa ambayo naona inatusumbuahata sisi waafrica corona ilirudi tena hata yy ali aknowledge that
 
What is virus mutation? What are the factors that trigger virus to mutate?

So no one dare to answer this scientifically. Swali langu la msingi lilikuwa hili Je tungefuata WHO instruction kusingetokea virus mutation? Jibu ni noo

Virus mutation ni changing of virus (DNA or RNA) structure.

Stucture ya DNA or RNA. Inavyobadilika ina weza kutupa impact positively kwetu sisi au negative tulimbuke structure ndio inadetermine virus anaenda kuji attach vipi kwa host DNA(binadamu)

Virus mitation can be triggered by so many factors include virus itself for surviving purpose,

But Host DNA can trigger mutation ya virus pia au vaccine inserted to the host pia inaweza kutrigger ambapo vaccine inaweza isiruhusu multiplication ya virus au ina ruhusu multiplication ambayo ni non harmful kwa binadam pale mbapo host DNA imeshindwa kufanya ivyo.

In case of corona ni RNA virus(RNA na DNA utofauti upo kwenye structure zao na namna vinapoenda kuattach host DNA na kufanya multipication) sasa sifa kubwa ya RNA virus ni virus ambao multiplication yao mosty inakua bcz of surving purpose, wana high rate ya mutation, short replication time ambapo tunaona sasa corrona virus tayari amesha mutate 10 times kama host DNA haulikiwa na uwezo wakumzuia asi mutate na asi multiplay na hakukuwa na vaccine basi ilikuwa ni muda tuu haya yote yangetokea.

Kwann Tanzania only ndo inaonekanika virus amemutate 10 times ? Tanzania. Human genes zinatofautiana geographical unaporuhusu virus wa from different genes means unaruhusu yule virus a mutate differently hatujafinga mipaka Waafrika wenzutu wa Noth Africa wanakuja navirus wao wanatuambukiza, Americans wanakuja navirus wao wanatuambukiza, Asia na China sio maajabu kukuta virus amemutate 10 times yule wa kwanza.

Asanteni NENO LANGU SIO SHERIA
 
sasa solution ni nini huko ulaya mnavaa barakoa na mnakufa mmepigwa chanjo bado mnakufa mkija na alternative ya kueleweka tutawasikiliza kwasasa hatuwezi kuyafaidisha makampuni ya kigeni yanayouza dawa ambayo ni useless unachoma sindano ya kinga then bado una vaa barakoa so what's the use of kinga
 
Ukifuata ushauri wa wanasayansi, utaepuka Corona.
Ila umeamua kufuata ushauri wa wanasiasa.
Ndiyo maana Kila siku linakuja jambo jipya. Siyo Kila kitu ni siasa
 
Bado umejibu kisasa.
Just because umetoa explanation hiyo haimaanishi upo sawa.
Ndiyo maana hatuendelei kisayansi kwa sababu tupo backwards philosophically.
Kwa hiyo utasoma na kujaribu kutoa majibu ya kisayansi based on inserted philosophy.
Climate change deniers and intelligent design proponents are a good example.

Bruh, jibu ni rahisi sana. Ukivaa barakoa, sanitize surfaces na socially distance yourself. You are reducing and eliminating the number of host cells and the virus respectfully.

NO HOST CELLS!!!!
NO MUTATION!!!
NO VIRUS!!!
It can mutate 200 times but it will never go anywhere. Finally the virus will be gone.

Simple as that. Sasa hapo WHO walichokosea ni kipi?
Please mayne!
 

Nafikiri inahitaji mwelewa kunielewa, kuvaa barakoa nikitu kingine na virus mutation nikitu kingine as long as virus tayari alishatokea na yupo nafikiri sasa hakuna nchi ambayo hakuna corrona swala la kuwa 10 times mutated lilikuwa niswala la muda tuu.

Hata hizo instructions za WHO ukizifuata bado utapata corrona zipo nchi zilizokuwa mstari wa mbele kuzifuata na zimekuwa affect more than us.

Ulichokisema nikuwa tusingeruhusu maambukizi kabisa which its something impossible. Huja justify WHO instruction na 10 times mutated virus aliepatikanika Tz.
 
Mficha maradhi kifo humuumbua. Natabiri kuwa hata yeye atakufa kwa Corona kama ataendelea kuipuuzia Corona. Corona ina utaratibu wake wa ajabu sana, ina wivu na inapenda kutawala. Ukikataa kuidhibiti ni lazima ikutawale. It started in Burundi!
Yule mrithi wa Nkurunzizah hata kwenye msiba hakutokea.
 
Watanzania hamsikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…