#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

UK wanafuata hizo njia za kisayansi? Maambukizi yao yakoje by percentage?
Ndio Uk wanafuata njia za kisayansi
Kwa UK maambukizi yananukuliwa kisayansi kwa kitu kinaaitwa R number(hii homework yako kujua R number nini)
na formula yake ni;

1617034760449.png


kwa sasa kiwango cha R number ni 0.7 to 0.9 na maambukizi kwa siku ni kati ya asilimia -5% to -2%

Haya nipe hizo percentage za Tanzania unazo?
Au yule jiwe kazikwa nazo.....
 
1. Hawaoshi mikono
2. Hawavai barakoa
3. Hawafati masharti ya kukaa kwa umbali
Na haya ni very basic...
Bado hujataja elimu ya kujua magonjwa ya virusi, vifaa vya kuchakachua kimaabara,.............
so wakifanya haya iyo variant mpya haiwezi kufanya mutation
 
Zote ... Yaani hakuna covid.
Social distancing.
Masking
Sanitizing
Lockdown (based on statistics kama inahitajika)

Badala yake ni NYUNGULIZATION ... Method done by NIMR, UDSM etc...

NYUNGULIZATION Haina scientific basis mbona wabishi??
Acheni ubishi please! It's freaking weird!
kwa iyo mkuu tukifanya haya icho kirusi hakiwezi kufanya iyo mutation
 
Mkitaka lockdown mkae wenyewe na familia zenu.

Hata hizo chanjo mkizitaka nendeni mkachanjwe na familia zenu.

Tusipangiane maisha
 
Wewe umesoma kilichoandikwa humor?
Duh ... Majsnga.

Ndio nimesoma sijaona mahali watu walipo ambiwa wasivae barakoa wasi observe social distance

Kama bado mnabisha this is not worth kubishana
Hope somo mtakuwa mmepata kutokuongea ovyo kabla hamjawa na data zakutosha hiyo ni goverment documents kabisa ambayo ukisikiliza vyombo vya habari vya nje vinaongea tofauti

Tubadilikeni tuache mihemko ambayo haina sababu. Am out.
 
Hata mimi na laptop yangu, naweza kuutengeneza huu utopolo usiokuwa na ushahidi wowote wa kisayansi,

Kweli Mitano tena watu walijazwa ujinga sana

Sina muda huo nenda pia kwenye page ya shangazi fatma TL utaikuta tena Hii documents

Tuache mihemko tuongee vitu vyenye data.
 
Swali lako linawalinganisha wewe na babu yako mzaa baba yako mzazi kwamba wote mna miaka sawa, kwa sababu wote mna watoto.

Ukweli kwamba wewe una mtoto, na babu yako mzaa baba yako naye ana mtoto (ambaye ni baba yako mzazi) haukufanyi wewe uwe na umri sawa na babu yako mzaa baba yako mzazi.

Unapolinganisha vitu, linganisha vitu vinavyolingana.
Em Jibu swali kwanza
 
Ndio Uk wanafuata njia za kisayansi
Kwa UK maambukizi yananukuliwa kisayansi kwa kitu kinaaitwa R number(hii homework yako kujua R number nini)
na formula yake ni;

View attachment 1737995

kwa sasa kiwango cha R number ni 0.7 to 0.9 na maambukizi kwa siku ni kati ya asilimia -5% to -2%

Haya nipe hizo percentage za Tanzania unazo?
Au yule jiwe kazikwa nazo.....
Nikuulize sasa, huku mnakodai hatufuati njia za kisayansi, reproductive number yetu ni mbaya zaidi ya kwao?
 
Kuna jamaa mmoja hapa JF nilimwambia Tanzania inaweza kutoa mutation mpya ya kirusi, akawa anabisha saaana kwa ubishi wa kibongo wa ilimradi kubisha tu

Natamani niuone ule uzi nimuoneshe hii habari.
Umesha dungwa sindano
 
Em Jibu swali kwanza
Swali lina makosa ya kimantiki, hata jibu litakosa mantiki na maana.

Ni kama nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?

Unaniambia swali lina makosa, wimbo hauna rangi, una sauti.

Sitaki kusikia, nashikilia tu, jibu swali.

Rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?

Jibu swali.
 
Back
Top Bottom