Moto unawaka, No fap Challenge (Kuzuia shahawa kutoka): Nimekaa siku 8 kujizuia kupizi napata wakati mgumu kuendelea, wengine mmeweza vipi ?

Mbona tunakaa mwezi na tunadunda tuu mzee unakwama wapi?
 

Kupunguza shahawa mwilini kunasaidia ubongo kufanya kazi kwa haraka zaidi,kutunza shahawa mwilini kunapelekea mtu kuwa na hasira za hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…