Moto wa Tundu Lissu umewaibua mafichoni

Moto wa Tundu Lissu umewaibua mafichoni

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and
white can never be red.

Huyu bwana yuko very persistent, determined and self motivated.

Hatimaye na wao wameona wasipitwe isije kuwa Maua wakapewa wengine na wao kwakakosa hata moja.

Sikilizeni wenyewe Katibu Mkuu CCM akijaribu ku-neutralize mambo.


Katiba Mpya bila upinzani makini haiwezekani. Ilishindikana 2014 baada ya Ukawa kususia kwa sababu zilizokuwa muhimu.

Wale jamaa wakajibanza ndani ya bunge wao kwa wao wakidhani wangeweza kuja na katiba ya kwao. Wakagonga mwamba pumzi ikakata.

Wenye Pumzi wameliamsha tena.Tanzania yoote imesimama.

Asante Rais Samia tunajua na wewe unajua umuhimu wa Katiba Mpya maana kila mtu alikuwa Mhanga awamu iliyopita.
 
Wenye Pumzi wameliamsha tena. Tanzania yoote imesimama.
1685208236187.png

Picha | TABORA Mjini, jioni ya leo (27/05/2023)

1685208315685.png

Picha | TABORA Mjini, jioni ya leo (27/05/2023)

Video | Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. #freemanmbowetz alifika Tabora Mjini leo 27.05.2023 kwa ajili ya kuzindua Oparesheni #255KatibaMpya. Alipokelewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. #TunduALissu ambaye aliongoza mikutano mingine minne katika mkoa huo asubuhi. Oparesheni #255KatibaMpya ni kampeni ya CHADEMA ya kutaka katiba mpya ya Tanzania.
 
Sasa kama ccm na wao wanaitaka, chadema na act humo humo... ya nini huo mchakato usianze sasa na upinzani wanyamaze? ccm na serikali yenu mnasubiria nini?
 
Wakati huo Mbowe akilamba Asali. Tundu Lissu tu ndo anahangaika namna hii kuwasha moto. Mbowe anaogopa kuiudhi CCM.
 
Back
Top Bottom