Kitu kimoja ninachompendea Tundu Lissu ni kuwa Mtu wa msimamo Thabiti kama Nabii Danieli. Kwake black is black and
white can never be red.
Huyu bwana yuko very persistent, determined and self motivated.
Hatimaye na wao wameona wasipitwe isije kuwa Maua wakapewa wengine na wao kwakakosa hata moja.
Sikilizeni wenyewe Katibu Mkuu CCM akijaribu ku-neutralize mambo.
Katiba Mpya bila upinzani makini haiwezemani. Ilishindikana 2014 baada ya Ukawa kususia kwa sababu zilizokuwa muhimu.
Wale jamaa wakajibanza ndani ya bunge wao kwa wao wakidhani wangeweza kuja na katiba ya kwao. Wakagonga mwamba pumzi ikakata.
Wenye Pumzi wameliamsha tena.Tanzania yoote imesimama.
Asante Rais Samia tunajua na wewe unajua umuhimu wa Katiba Mpya maana kila mtu alikuwa Mhanga awamu iliyopita.