Video | Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. #freemanmbowetz alifika Tabora Mjini leo 27.05.2023 kwa ajili ya kuzindua Oparesheni #255KatibaMpya. Alipokelewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. #TunduALissu ambaye aliongoza mikutano mingine minne katika mkoa huo asubuhi. Oparesheni #255KatibaMpya ni kampeni ya CHADEMA ya kutaka katiba mpya ya Tanzania.
Sasa kama ccm na wao wanaitaka, chadema na act humo humo... ya nini huo mchakato usianze sasa na upinzani wanyamaze? ccm na serikali yenu mnasubiria nini?
Sasa kama ccm na wao wanaitaka, chadema na act humo humo... ya nini huo mchakato usianze sasa na upinzani wanyamaze? ccm na serikali yenu mnasubiria nini?