Moto wa Tundu Lissu umewaibua mafichoni

Tena ikulu mpya ipo hapo dodoma,,,, Lazima jirani wa hapo Singida aende akai bless
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sio kwa Mwigulu hana uwezo binafsi wa kuongoza Nchi. Hapo amefika kwa kubebwa tu.
 
Tena ikulu mpya ipo hapo dodoma,,,, Lazima jirani wa hapo Singida aende akai bless
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sio kwa Mwigulu hana uwezo binafsi wa kuongoza Nchi amefika hapo kwa kubebwa tu
 
Safi sana.
 
INabidi tufanye hivi kwa sababu hali tete.

CCM imejaa chawa, viongozi ni wa kuwasaka kwa tochi
 
Mwigulu mtoto wa mjini anajua kula na kipofu,, mtaalam wa kubadili gia angani na alishaanza kua rais wa mawe na madaraja basi atakua jiwe mwingine

Ndivyo mitapeli mijizi ilivyo
 
Lissu ni Shujaa

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…