Moto wa Tundu Lissu umewaibua mafichoni

Ccm hawakawii kusema chadema wanatumia picha za 2015 Magufuli Dikteta uchwara alichanganyikiwa alipopewa taarifa kuwa ktk kampeni za Tundu Lissu watu wanafurika pamoja na kwamba hakuna matangazo ya mikutano yake kupitia radio au TV. Akaamua kupora uchaguzi yaani ccm inatia huruma sana.
Tundu Lissu toka nimfahamu hajawahi niangusha.
 
Hali inatisha.

Hali ni mbay kwa ccm
 
Kweli wameibuka, moto umewawakia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…