safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Shida kuyapeleka kwenye uhisiaKwenye makaratasi kila kitu kipoš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida kuyapeleka kwenye uhisiaKwenye makaratasi kila kitu kipoš¤£
Kuna watu wanapata hela za bure bureMbona hiyo timu ipo, Soma Sheria ya wakala wa usimamizi wa maafa, 2014
7.-(1) Kutakuwa na Baraza la Usimamizi wa Maafa Tanzania.
(2) Baraza litaundwa na wajumbe wafuatao-
(a) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya
Usimamizi wa maafa ambaye atakuwa
Mwenyekiti;
(b) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ambaye atakuwa Makamu wa Mwenyekiti;
(c) Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali;
(d) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana ya mamlaka na tawala za mikoa na serikali za mitaa;
(e) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na fedha;
(f) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na afya na ustawi wa jamii;
(g) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
mawasiliano;
(h) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
mazingira;
(i) Katibu Mkuu Wizara yenye dhamana na
Kilimo; na
(j) Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Hali ya
Hewa Tanzania.
Kwenye makaratasi kila kitu kipoš¤£
Mkuu mbona unashangaa, ulikuwa hutegemei hili kutoka kwa serikali sisiemu ?š¤£
Ahaha ..mkuu hivi umeshawahi kusikia mtu Kafa kifo cha Moto porini?Hapo ndio huwa wahenga wananichanganya Sana methali zao
Vp huu wa kariakoo wauswashie wap ili ukutane na huoAhaha ..mkuu hivi umeshawahi kusikia mtu Kafa kifo cha Moto porini?
Sasa hiko hivi;km ukiwa porini na Moto mkali unawaka,unachopaswa kufanya ni kuwasha Moto mwingine.Ule Moto wa zamani ukifika pale ulipowasha Moto mpya unakuwa hauna mwendelezo,Kwa hiyo unazimika automatically bila kutumia nguvu
Kisha unaondoka kibabe huku unasema,dawa ya moto ni moto!!
Team ipo ila inafanya kazi kisiasa haitengewi fungu.Lazima kuwe na team special ku deal na majanga; moto, floods, tetemeko. Haya mambo si ya kumuachia Mungu peke yake ... kujiongeza ni muhimu
Wakawashie pale lumumbaVp huu wa kariakoo wauswashie wap ili ukutane na huo
Umenikumbusha BUSH MAN
Nitafutie ramani ya location ya Moto unapowaka mkuu..Vp huu wa kariakoo wauswashie wap ili ukutane na huo
Umenikumbusha BUSH MAN
Tunayo Idara kabisa Ila mambo ndio hayo Mkuu
Mgonjwa alipona mkuu?Na ndugu alipelekwa temeke Hosp akaambiwa anatakiwa akimbizwe muhimbili dah wakesema gari/ambulance hadi ijae ndiyo wapelekwe kwa ujumla
Yaani hakuna jambo hata moja tunaloweza kulifanya kwa ufanisi kabisa kabisa. Kwa nini lakini tuko hivi? Kwa nini tuko hivi watu weusi?Kuna muda Unaweza kutamani kua Patriot wa nchi yako ila ukiangalia mifumo na uendeshaji wa serikali unaamua tu kutulia. Mm naamini wakazi wa bara hili tuna laana fulani hivi [emoji849]
Hatuna hata hiyo baisikeli!tanzania safari yetu tunaenda kwa baskeli ya miti
Kwakweli hua nashangaa sijui shida ni nini wananchi chenga tupu, basi hata hao viongozi Mungu aliowachagua watuongoze wao ndio wapuuzi kabisa. Nadhani kikubwa kinachotusumbua ni umimi, tamaa na ubinafsi wa materials things. Mtu yupo Tayari atelekeze mladi wa zahanati kijijini hela yote abebe aweke mfukoni....Tunakosa Vision tunajijali sisi tu tunaoishi leo hatutaki kujua kesho wajukuu zetu wataishije maana tutakua tushakufa so haituhusu.Yaani hakuna jambo hata moja tunaloweza kulifanya kwa ufanisi kabisa kabisa. Kwa nini lakini tuko hivi? Kwa nini tuko hivi watu weusi?