Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Siasa mbele mauti nyumaTatizo letu siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siasa mbele mauti nyumaTatizo letu siasa
😂😂😂Hatuna hata hiyo baisikeli!
Karibu UlayaBongo bahati mbaya
Nenda ulaya🙃Bongo bahati mbaya
Kwa kweli sehemu kama kariakoo soko kubwa vile ya kukosa magari ya zima moto inashangazaKinachoniuma zaidi ni pale kodi inapolazimishwa kulipwa wakat huduma za kijamii hazpo
Nenda ulaya🙃
Nimeshakaribishwa ulayaKaribu Ulaya
this is africa asee unaweza kusema uwapige msasa wa nguvu wakatokea watu huko wakakukatisha tamaa kwamba unajifanya we ndo mzalendo sana,wengine hata kipapai wakakupigaHuduma za uzimaji moto kwa kweli sisi bado ni kitendawili, kwa kweli unahitajika msasa wa nguvu. Na huku kusua sua hakujaanza leo, ni miaka na miaka
Kipapai 😂😂😂😂this is africa asee unaweza kusema uwapige msasa wa nguvu wakatokea watu huko wakakukatisha tamaa kwamba unajifanya we ndo mzalendo sana,wengine hata kipapai wakakupiga
Kamchukue mzee Mpili atamaliza kazi.Hapa kuna namna na kuna ushirikina unafanyika sio bure watafutwe wazee Mara moja
Mbona ipo tena chini ya ofisi ya waziri mkuu, na kila mwaka inatengewa fungu!!na ukiwasikia mikakati yao utadhania kweli kazi wanaweza, subiria tatizo litokee, ndio utawasikia mala vifaa ni duni!!!hapa tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu!!ngoja jengo lianguke hapa mjini, utawaona watakavyo hangaika, kana kwamba hakuna jengo liliowahi kuanguka kwani watabakia wanashangaa tu!!Lazima kuwe na team special ku deal na majanga; moto, floods, tetemeko. Haya mambo si ya kumuachia Mungu peke yake ... kujiongeza ni muhimu