Moto warudi tena Soko Kuu la Kariakoo

Pengine unakuwa mtu kamdhulumu mwenziwe kaamu kumpelekea moto kwenye frem yake bila kujua ya kwamba ndio anaanzisha moto kwa soko lote , mola atusitizlri na hizi elm tulizojaaliwa maana zikitumiwa vibaya ni majanga makubwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Bongo basi tuuu...
Yani yale mambo yakuigiza kwenye movie, sisi ndio tunayaishi.
 
Pengine unakuwa mtu kamdhulumu mwenziwe kaamu kumpelekea moto kwenye frem yake bila kujua ya kwamba ndio anaanzisha moto kwa soko lote , mola atusitizlri na hizi elm tulizojaaliwa maana zikitumiwa vibaya ni majanga makubwa.
 
Huduma za uzimaji moto kwa kweli sisi bado ni kitendawili, kwa kweli unahitajika msasa wa nguvu. Na huku kusua sua hakujaanza leo, ni miaka na miaka
this is africa asee unaweza kusema uwapige msasa wa nguvu wakatokea watu huko wakakukatisha tamaa kwamba unajifanya we ndo mzalendo sana,wengine hata kipapai wakakupiga
 
this is africa asee unaweza kusema uwapige msasa wa nguvu wakatokea watu huko wakakukatisha tamaa kwamba unajifanya we ndo mzalendo sana,wengine hata kipapai wakakupiga
Kipapai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio kusema moto nao uwekwe kwenye janga nchi inalopambana nalo kama Malaria?
 
Lazima kuwe na team special ku deal na majanga; moto, floods, tetemeko. Haya mambo si ya kumuachia Mungu peke yake ... kujiongeza ni muhimu
Mbona ipo tena chini ya ofisi ya waziri mkuu, na kila mwaka inatengewa fungu!!na ukiwasikia mikakati yao utadhania kweli kazi wanaweza, subiria tatizo litokee, ndio utawasikia mala vifaa ni duni!!!hapa tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu tu!!ngoja jengo lianguke hapa mjini, utawaona watakavyo hangaika, kana kwamba hakuna jengo liliowahi kuanguka kwani watabakia wanashangaa tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…