Motra the future na Diss Track dhidi ya Kikosi Kazi awaita kikosi kazi WEUPE

kwani swala la WEUSI kubebwa na media ni uwongo?

Unawafahamu wakali wa media?

Kuna watu waliajiriwa kwenye kitengo cha wakali wa media yani zile message ambazo wadau wanatuma ili ku request ngoma zipigwe zilikua zinawafikia wao.

Hata nyimbo ikiwa requested mara 100 wale majamaa walikua wanabania kuicheza, kwa mtu yeyote anayejua hip hop hawezi kuwafananisha kiuwezo kikosi kazi na weusi
 
Hip hop ya dar ni soft?

Kama anayoimba nani?

Na hiyo hip hop hardcore ya arusha inaimbwa na nani?
 
Hip hop ya dar ni soft?

Kama anayoimba nani?

Na hiyo hip hop hardcore ya arusha inaimbwa na nani?
Nalisubiri jibu lake mkuu,tatizo watoto wa chuga wanafikiri hip hop ni kukaza sauti peke yake,anitajie msanii yeyote kutoka arusha mwenye punch line ya kusikilizika haiweke hapa.Mcs wa arusha mistari yao ya kawaida sana wala haifikirishi
 
Uliona wapi baba anabishana na mwanae wa kambo ?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huwa nacheka sana eti g-nako naye mwana hip hop mistari yake mashudu matupu yaani ilimradi anaflow,kile anachokiandika hata mimi layman kwenye game naweza andika na nikaingia studio kurekodi,hii game imeharibiwa sana na watangazaji na ma dj njaa
 
Huwajui watu wa Arusha kwa kujikuta wao ndio wana Hip hop haswaaaa Tanzania nzima, kumbe wanaimba mashudu tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wakali WA media ndo walikuwa kina Nani?
 
Soon cholo brighter atamuua Motra kupitia beat ya mtazano ngoma tume ipitika kikosi kazi tuka bariki itoke sisi hatuwezi mjibu motra atajibiwa na watoto wenzake
 
Mex kaua mzee
 
You know nothing walionzisha beef ni weusi mzee na weusi hawaingii ata robo ya kikosi
 
Ndiyo wanafanya kwajiri ya mtaa nyie mnatoa ngoma naDavido lakini inakuwa kama hakuna kilichotokea shameful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…