Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #41
kwani swala la WEUSI kubebwa na media ni uwongo?Wewe unawatetea tamaduni lakini ukikaa na kuangalia mziki wao una future yeyote? Miaka mingapi wako kwenye game wameishia kuwaimbia masela Kama nyie ambao mnatoa support mitandaoni kwenye real hampo.
WEUSI hawakuanza kuwadiss hao jamaa. Chokochoko zilikuwa tangu kitambo tu tamaduni walikuwa wanadai WEUSI wanabebwa na Media. Ndio WEUSI wakaamua kuwalipua bas majamaa yakapanick balaa 😂😂 bila ile diss track ya WEUSI hakuna mtu mwenye attention nao ni nyie wachache tu ambao hata kazi zao hamnunui na kwenye media hamrequest ngoma zao. Ndio maana mtu Kama Nash Mc kajikataa zake, Dizasta na yeye yuko kivyake. ..kundi Lina wasanii nane siju kumi ..tangu lini kundi kubwa ivyo likadumu mda mrefu? Hawana maisha marefu Hawa jamaa watapoteana tu
Unawafahamu wakali wa media?
Kuna watu waliajiriwa kwenye kitengo cha wakali wa media yani zile message ambazo wadau wanatuma ili ku request ngoma zipigwe zilikua zinawafikia wao.
Hata nyimbo ikiwa requested mara 100 wale majamaa walikua wanabania kuicheza, kwa mtu yeyote anayejua hip hop hawezi kuwafananisha kiuwezo kikosi kazi na weusi