Chief usipanic.
Motra ni mkali nina uhakika 150% humuwezi kwa style, humuwezi kwa mashairi nk.
(Weka nyimbo yako hapa tukusikie🤣)
Hao kikosi kazi wenyewe bado wanajitafuta hadi wamechoka, miaka inaenda mziki umewapa majina bila pesa na ndiyo maana wanastress na wivu dhidi ya waliofanikiwa ndiyo maana kwao kila mtu ni mmbaya kwao.
Huyo mex hii dis track yake ni malalamiko tu kama kaka zake hana content , hana taarifa za opponent wake amejikuta anafanya diss track utadhani yuko jukwaani anafanya rap battle na mtu aliyekutana naye leo.
Ushawahi kuona wapi mtu anarekodi diss track 2 kabla hata hajajibiwa???
Na kwa taarifa yako hakuna atakaye mjibu kwasababu hii diss track yake haina content.
Style zao zinafanana kama mchele wa basmat 🤣🤣🤣