Fifa ndio nini kwani wewe huangalii mpira
mechi ya everton na swansea ni kubwa kuliko atletico vs malaga
mimi siiangalii kabisa watu wanacheza mpaka najiuliza hawa kadi nyekundu wanapataje mpira umepoa kama ligi ya mchangani
nikiangaliaga mpira wa england kichwa na shingo vinaniuma sababu mda wote mpira jujuu sasa ligi gani hiyo kila saa butubutu na mpira ukitua chini tyar faulo ila mpira wa spain hata ukimwanga unga wa sembe chini hauchafuki sababu mpira mwanana na wenye ladha kwa pasi maridadi na zakuvutia
Huyo nae tushamzoea na maneno yake ya Ngomani,hizo timu za England mbona zikikutana na timu za Spain kwenye Mashindano ya UEFA zinapigwa kipigo cha Mbwa mwizi kila mwaka?
Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga
sijakuelewa mkuu ligi ya timu.mbili kivip Ngoja nikuulize swali au nikufungue macho kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita kwenye epl na la liga EPL imetoa washindi wanne tofaut wakat LA LIGA imetoa washindi watano tofauti sasa kwa takwimu hizo inanifanya nisikuelewe una maanisha nini unaposema ligi ya timu mbili wakati kwenu kwa miaka 20 ni timu 4 tu ndizo zinazopokelezana ubingwahivi aliyekwambia mechi ikiisha mnakaguliwa nguo kama zimechafuka ni nani ?
hiyo tv yako mbovu ndip maana unaangalia juu juu
mpira ni tit for tat mpira vita
sio ligi yenu kama ya bongo timu mbili ya tatu imekuja juzi na itapotea
kama timu gani mkuu ambayo inaweza mchapa madrid pia ikampiga atletico af imfunge na barca ni ipi hiyo ili nijiunge nayo
sijakuelewa mkuu ligi ya timu.mbili kivip Ngoja nikuulize swali au nikufungue macho kwa zaidi ya miaka 20 iliyopita kwenye epl na la liga EPL imetoa washindi wanne tofaut wakat LA LIGA imetoa washindi watano tofauti sasa kwa takwimu hizo inanifanya nisikuelewe una maanisha nini unaposema ligi ya timu mbili wakati kwenu kwa miaka 20 ni timu 4 tu ndizo zinazopokelezana ubingwa
Man united,Arsenal,Chelsea,Liverpool,Mancity
Acha kuota ndoto za mchana.
Man united,Arsenal,Chelsea,Liverpool,Mancity
nikiangaliaga mpira wa england kichwa na shingo vinaniuma sababu mda wote mpira jujuu sasa ligi gani hiyo kila saa butubutu na mpira ukitua chini tyar faulo ila mpira wa spain hata ukimwanga unga wa sembe chini hauchafuki sababu mpira mwanana na wenye ladha kwa pasi maridadi na zakuvutia
hivi wewe una akili ?
lini barcelona au madrid kamaliza unbeaten kwenye ligi yao ?
kwanini wasifungwe ??
hawa madrid wakacheze kila wiki mikiki mikiki ya epl msimu mmoja wataomba poo
yaani ucheze wiki hii na everton wiki ijayo na crystal wiki ijayo na stoke wiki inayofuata na Arsenal kisha man u kisha unasubiri man cty chelsea liverpool spurs ndio wasifungwe ??
kufungwa kunatokana na kuchoka kwa wachezaji sio kiwango kibovu upo hapo ?

Ligi ya spain imedorora kuanzia kwa macommentator mpk uwanjan wakat epl hakuna kitu kama hicho
Asiyekuelewa basi tena!!mechi ipi ndogo unaangaliaga ya la liga ?
epl naangalia kila mechi na utamu upo hiyo ligi yenu mchezaji akiwa mzuri anachagua aende madrid au barcelona
diego costa ndio huyu aliyekua atletico
aguero kaja kwa mbwembwe akaishia kukaa misimu mitatu kama sio minne bila ufungaji bora
Soldado huyu alikua ashikiki huko la liga huku kama mr penati
Negredo alikua anafunga kama mwendawazimu alipokua huko huku kaja kisha kakimbia
Diego forlan ndio alikua msuguaji benchi pale man u kaenda atletico akawa moto
Roy keane alimwambia pique beki hawezi akawa amelegea hivi ila karudi baca ndio beki bora
Hivi bado uahitaji kujua ligi ngumu ?