Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Hivi EPL kuna timu za kuwafunga Barcelona, Real Madrid na Atletico Madrid?

Barca, Real zitoe weka ambazo wao wanasema hazichukui ubingwa zipambanishe na EPL top four utanipa majibu
Valencia, Sevila, Atletico vilareal na Espanol zinatosha
 

Cjakuelewa ulikuwa unajadili mada hii Au
 

Halafu wanakwambia EPL league ngumu eti!

Yani timu zote za ligi ngumu (EPL) zinachemsha kwenye UEFA na Europa League? Halafu zile za ligi nyepesi (La Liga) zinatesa kwenye UEFA na Europa League! SMFH.

Watu wanachoshindwa kuelewa ni kwamba timu zote za EPL ni mbovu kwahiyo wabovu wakikutana obviously ni lazima wasumbuane na ndo huo "ugumu" unapokuja.
 
Fact: Mourinho alifundisha kwa miaka mi-3 La Liga, aliambulia Copa del Rey 1 na La Liga 1 tu. Alichemka vibaya akakimbia kufukuzwa.

Fact: Mourinho alipokuwa La Liga alishindwa soka akaanza visingizio kila siku, mara refs, Uefa and Unicef conspiracies, potato fields, tight schedule, hunting with a Cat, snitches, et cetera.

Fact: Mourinho alishindwa soka akaishia ku-attack makocha wengine physically. Recall what he did to Tito.

Fact: Mchezaji wa daraja la pili Spain, anaingia moja kwa moja Premier League na kupata number. Ayoze Perez, Newcastle.

Fact: Ex players wa La Liga na walioonekana wa kawaida ndio wanai-run Premier. Yaya Toure, Fabregas, Sanchez, Alex Song, Juan Mata, Ander Herrera, et cetera.

Fact: Fifpro iko dominated na La Liga players miaka kibao. Best league......where are your best players??

Fact: Premfaces hamna facts ku-support arguments zenu.
 

sina cha kuzungumza nitawapestia wale wabishi
 

asiyekuelewa na hapo atakuwa c.mzima
 
Angalieni na huyu kilaza mwingine alichosema,

"We have the most thrilling league in the world, but not the best teams. We must take the Europa League seriously. England's performances in the last 15 years have been aweful." - Jamie Carragher.

Anakiri kwamba EPL haina best teams halafu anadai "they have the most thrilling league".
 

Ligi yenye upinzani, qpr inamtoa jasho la meno chelsea!
 

Sasa hao mnaosema league yao ni ngumu (EPL)
mbona wakikutana na timu za ligi nyingine (rahisi)
kwenye UEFA wanachemsha?
Ukweli ni kwamba vilabu vya Uingereza vina uwezo
mdogo vyote ndiyo maana wakikutana lazima
wasumbuane (wajinga kwa wajinga).
Huwezi ukawa na timu nzuri halafu ukafungwa na
timu zinazoshika mkia.
Lionel Messi na Christiano Ronaldo wanayoyafaya
kwenye La Liga ndo yaleyale wanayoyafanya
kwenye UEFA wanapokutana na timu bora za ligi
zote za Ulaya. Sasa kama wanawachapa hao top
four wakicheza na kina Stoke City itakuwaje? Si
yatatokea maafa?
Kama jambo rahisi hivi ni gumu kueleweka basi
siyo ajabu kwa Tanzania kuwa hapa tulipo leo
kiuchumi.
 

Fact: Mourinho alifundisha kwa miaka mi-3 La
Liga, aliambulia Copa del Rey 1 na La Liga 1 tu.
Alichemka vibaya akakimbia kufukuzwa.
Fact: Mourinho alipokuwa La Liga alishindwa soka
akaanza visingizio kila siku, mara refs, Uefa and
Unicef conspiracies, potato fields, tight schedule,
hunting with a Cat, snitches, et cetera.
Fact: Mourinho alishindwa soka akaishia ku-attack
makocha wengine physically. Recall what he did to
Tito.
Fact: Mchezaji wa daraja la pili Spain, anaingia
moja kwa moja Premier League na kupata number.
Ayoze Perez, Newcastle.
Fact: Ex players wa La Liga na walioonekana wa
kawaida ndio wanai-run Premier. Yaya Toure,
Fabregas, Sanchez, Alex Song, Juan Mata, Ander
Herrera, et cetera.
Fact: Fifpro iko dominated na La Liga players
miaka kibao. Best league......where are your best
players??
Fact: Premfaces hamna facts ku-support
arguments zenu. by DE SOUZ
 

Umemaliza kila kitu mkuu.

Fan boys wa EPL hawana facts, wanachodai wao ni kwamba EPL hata anayeongoza ligi akikutana na timu inayoshika mkia chochote kinaweza kutokea. LOL!
 
Tofauti kubwa ya epl na la liga ni udhamini,kwa epl timu zote zinafaidika na haki za matangazo,kwa la liga ni barca na r,madrid ndo wanaofaidika zaidi,kwa sheria ya sasa ya spein itawabana sana hawa jamaa kimapato na kupunguza kabisa ufalme wao wa soka.
 
wewe unaonekana ni mchambuz mwenye upeo fulani katika soka ila cjajua kwa badae kama utabadilika au lah
 
Ligi yenye upinzani, qpr inamtoa jasho la meno chelsea!

"Uzito" wao wote hao ni sawa ndiyo maana wanatoana jasho la meno.

Wakutane na "Heavy Weights" kina FC Barcelona na Real Madrid uone itakavyokuwa.
 
wee kweli mahaba na la liga yamezidi, kwa hiyo ndani ya miaka 3 kombe la la liga na copa del rey kwako si mafanikio?? kwani ligi yote inacheza timu yake tuu???
Nb: unaposema FACTS uwe unaweka na source.
 
Ndo maana kuna mashindano ya kukutanisha teams za league zote, yaani wababe wa league zote Ulaya wanakutana katika league inayoitwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE, hapo mnasemaje wadau?

umeongea point sana hapa
 
zipo zote ambazo ziko kwenye top 5 zinawafunga Barcelona na Madrid

EPL ipo kwenye media kwenye ground hakuna kitu mipira yao yote inafanana ya butua butua ukiitoa Arsenal na ndo maana Joze anaipenda cox ni lig ambayo haihitaji ufundi zaid ya kujua uelekeo wa goal basi
Ukitaka kujua mbona simple tu Spain ndo kuna wachezaji bora wa dunia EPL wako wap kama ni lig bora UEFA wako wapi Uefa ndogo out kitambo ambayo Sevila ya Spain inawexa chukua tena
EPL kisoka wapo xhini sema Media zinafanya kaz kubwa
 
wee kweli mahaba na la liga yamezidi, kwa hiyo ndani ya miaka 3 kombe la la liga na copa del rey kwako si mafanikio?? kwani ligi yote inacheza timu yake tuu???

Inamaana umeshindwa kuelewa maudhui ya hizo facts?

1. Sasa huyo Mourinho si anadai La Liga ni ligi nyepesi? Alibeba makombe mangapi?

2. Wachezaji walioonekana wa kawaida kwenye La Liga wameenda kung'ara kwenye EPL.

3. Mchezaji wa daraja la pili Spain anaingia moja kwa moja kwenye ligi "ngumu" ya EPL na kupata namba.
 

Mkuu, wabovu wakikutana kinachotokea ni vita tu, na hiyo ndo EPL.
 

huyo mmexico carlos vella
wanawafunga huko kama wendawazimu eti ligi inaamuliwa na mechi mbili
elclassico ya kwanza na elclassico ya pili atakayemfunga mwenzie ndio bingwa hii ligi haina ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…