mechi ipi ndogo unaangaliaga ya la liga ?
epl naangalia kila mechi na utamu upo hiyo ligi yenu mchezaji akiwa mzuri anachagua aende madrid au barcelona
diego costa ndio huyu aliyekua atletico
aguero kaja kwa mbwembwe akaishia kukaa misimu mitatu kama sio minne bila ufungaji bora
Soldado huyu alikua ashikiki huko la liga huku kama mr penati
Negredo alikua anafunga kama mwendawazimu alipokua huko huku kaja kisha kakimbia
Diego forlan ndio alikua msuguaji benchi pale man u kaenda atletico akawa moto
Roy keane alimwambia pique beki hawezi akawa amelegea hivi ila karudi baca ndio beki bora
Hivi bado uahitaji kujua ligi ngumu ?
Fact: Mourinho alifundisha kwa miaka mi-3 La
Liga, aliambulia Copa del Rey 1 na La Liga 1 tu.
Alichemka vibaya akakimbia kufukuzwa.
Fact: Mourinho alipokuwa La Liga alishindwa soka
akaanza visingizio kila siku, mara refs, Uefa and
Unicef conspiracies, potato fields, tight schedule,
hunting with a Cat, snitches, et cetera.
Fact: Mourinho alishindwa soka akaishia ku-attack
makocha wengine physically. Recall what he did to
Tito.
Fact: Mchezaji wa daraja la pili Spain, anaingia
moja kwa moja Premier League na kupata number.
Ayoze Perez, Newcastle.
Fact: Ex players wa La Liga na walioonekana wa
kawaida ndio wanai-run Premier. Yaya Toure,
Fabregas, Sanchez, Alex Song, Juan Mata, Ander
Herrera, et cetera.
Fact: Fifpro iko dominated na La Liga players
miaka kibao. Best league......where are your best
players??
Fact: Premfaces hamna facts ku-support
arguments zenu. by DE SOUZ