Mkuu, wabovu wakikutana kinachotokea ni vita tu, na hiyo ndo EPL.
eti David moyes kaishindwa man u eti huko sociedad bonge la kocha
ha ha ha ha ha ha ha ha
baada ya wapili watatu kaachwa point ngapi ?
Mkuu huo ndo ukweli,timu iliyofungwa na r,madrid gori9, ndo iliyofungwa barc gori8,wachezaji wake hawajalipwa mishahala yao km miezi5 hivi,epl ulishasikia timu imeshindwa kulipa wachezaji?
acha kurukaruka jamaa kashakujibu swali lako mambo ya watatu mara wa 4 wap na wap maana hata huyo sevila wa 5 alimtungua man u 3 mwaka jana tena trafod hivyo usipime moto wa timu za spain
baada ya wapili watatu kaachwa point ngapi ?
sijakonda mkuu, bado nina kumbu kumbu nzuri ya kikosi cha invinsible 2003/2004
Yani hawa jamaa bana vigezo vyao! Kuna jamaa hapa aliweka uzi nimesahau sijui ni nchi gani ya Kiarabu, ligi iko mwishoni lakini hata anayeongoza ligi akifungwa anaweza kushuka daraja na anayeshika mkia akabeba kombe.
Yani hawa jamaa bana vigezo vyao! Kuna jamaa hapa aliweka uzi nimesahau sijui ni nchi gani ya Kiarabu, ligi iko mwishoni lakini hata anayeongoza ligi akifungwa anaweza kushuka daraja na anayeshika mkia akabeba kombe.
EPL ipo kama mchezo wa SODO wa watoto mtaani hakuna mbabe anae weza tawala kila siku
Hahahahahahaha! Hilo league ni noma yaani timu znalngana kiwango.
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu mie
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi
mbili maarufu EPL na La Liga.
Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na ligi zote mbili.
Amesema kwamba mambo yangekua tofauti kwa Barcelona na Real Madrid kama wangekua kwenye ligi ya uingereza.
Nilikua Spain lakini sikui-ejoy kwasababu nilishinda ubingwa kwa rekodi ya points 100 na magoli 121. Mambo ni tofauti hapa England
inabidi uwe tayari kwa kila mechi.
Utayari wako sio wa kimchezo tu, bali hata kiakili. Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga
Ligi yenyewe ni hii hapa wakuu,
https://www.jamiiforums.com/sports/842782-the-most-competitive-league-in-the-word.html
hyo ndio ligi ya epl