Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

Mourinho asema Barcelona na Real Madrid zingekua England maisha yao yangekua magumu

baada ya wapili watatu kaachwa point ngapi ?

acha kurukaruka jamaa kashakujibu swali lako mambo ya watatu mara wa 4 wap na wap maana hata huyo sevila wa 5 alimtungua man u 3 mwaka jana tena trafod hivyo usipime moto wa timu za spain kwan hata huyo everton mnayemuona bora mwaka jana aliomba mechi na deportivo la coruna na akala 3 tena uwanjani kwake lakini leo hii deportivo anashuka daraja ila ukimpa timu ya epl anaitafuta kama simba anavyotafuna nyama ya swala
 
Mkuu huo ndo ukweli,timu iliyofungwa na r,madrid gori9, ndo iliyofungwa barc gori8,wachezaji wake hawajalipwa mishahala yao km miezi5 hivi,epl ulishasikia timu imeshindwa kulipa wachezaji?

Kwa hiyo unakubari kuwa hiyo timu ingekuwa imelipwa isingefungwa hizo goals? Hapo hujaeleweka na je ubora tunaupima kwenye malipo ??
 
acha kurukaruka jamaa kashakujibu swali lako mambo ya watatu mara wa 4 wap na wap maana hata huyo sevila wa 5 alimtungua man u 3 mwaka jana tena trafod hivyo usipime moto wa timu za spain

Yani hawa jamaa bana vigezo vyao! Kuna jamaa hapa aliweka uzi nimesahau sijui ni nchi gani ya Kiarabu, ligi iko mwishoni lakini hata anayeongoza ligi akifungwa anaweza kushuka daraja na anayeshika mkia akabeba kombe.
 
Imefika mahala wabongo tujifunze kubishana kwa facts and points, na sio hisia tu. Tuchanganyike na watu wa sehemu mbali mbali za dunia, tutajifunza vingi sana badala ya kukomalia story za vijiweni.

Kila kitu sisi ni hisia tu, siasa, michezo, elimu.....tubadilikeni wazee. Tukichanganywa na watu wa mataifa mengine tunaonekana vilaza tu, hatuna cha maana tunachoongea.
 
Yani hawa jamaa bana vigezo vyao! Kuna jamaa hapa aliweka uzi nimesahau sijui ni nchi gani ya Kiarabu, ligi iko mwishoni lakini hata anayeongoza ligi akifungwa anaweza kushuka daraja na anayeshika mkia akabeba kombe.

Hahahahahahaha! Hilo league ni noma yaani timu znalngana kiwango.
 
EPL ipo kama mchezo wa SODO wa watoto mtaani hakuna mbabe anae weza tawala kila siku
 
Si shangazwi na wenye mihemuko na ligi ya uingereza. Maana wengi wacheza "kamali" I mean watu wa kubet. Na mtu anayecheza kamali nadhani tunajua akili zao zinavyokua. Haki ya Mungu na nawaambia thamani ya shilingi ya Tanzania itazidi kushuka kwa hivi vitu. Mijitu imesahau mpaka majukumu yao kila siku kisa betting, na kinachi bettiwa ni ligi ya uingereza tu., nyambafu kabotage kabisa.
 
Yani hawa jamaa bana vigezo vyao! Kuna jamaa hapa aliweka uzi nimesahau sijui ni nchi gani ya Kiarabu, ligi iko mwishoni lakini hata anayeongoza ligi akifungwa anaweza kushuka daraja na anayeshika mkia akabeba kombe.

ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mbavu zangu mie
 
Kwa ugumu wa Ligi kweli EPL ni ngumu,, na sababu kubwa ni ratiba ngumu kutokana na mechi nyingi wanazocheza na mechi hizi za mashindano kibao EPL,FA,carling na wengine UEFA, na hapo hapo hakuna break kubwa hasa ya xmass.Lakini kuongea hivyo haimainishi ligi yao ndio bora kwa kiwango cha mpira ,,la hasha ...na kingine hizi timu za barca na Madrid ni kama outlier kwenye ligi yao maana ni wazuri sana na zina mapato makubwa sana ukifananisha na wengine "kidogo Atletico imeanza kujaribu katika miaka hii mitano " .Kwa maoni yangu EPL ni ligi ambayo sio predictable sana kama Laliga lakini haimainishi moja kwa moja ndio bora
 
Kocha aiseishuwa maneno akiwa kwenye interview na waandishi wa habari kwa mara nyingine tena ametoa mawazo yake kuhusu ligi
mbili maarufu EPL na La Liga.

Jose akiwa kwenye interview na talksport alisema kwamba kuna utofauti mkubwa kati ya La Liga na EPL kwasababu yeye ana uzoefu na ligi zote mbili.

Amesema kwamba mambo yangekua tofauti kwa Barcelona na Real Madrid kama wangekua kwenye ligi ya uingereza.
Nilikua Spain lakini sikui-ejoy kwasababu nilishinda ubingwa kwa rekodi ya points 100 na magoli 121. Mambo ni tofauti hapa England
inabidi uwe tayari kwa kila mechi.

Utayari wako sio wa kimchezo tu, bali hata kiakili. Sidhani kama wangezea kutawala EPL kama La Liga

Jamani ligi ya EPL wanatumia NGUVU kubwa sana sana kuitangaza lakini hamna kitu,angalia vitu Vichache tuu,Tangu wewe unaesoma ujumbe huu upate akili nani kutoka EPL amewahi Kuwa Mchezaji Bora wa Dunia au hata Ulaya? Wote wanatoka Spain na Italy,mpira wa Spain unakupa nafasi ya kuweza kuonyesha kipaji chako,England ni Mbio tuuu mwanzo mwisho,uki jaribu kupunguza wawili watatu either utatolewa Nje Kuwa unawachelewesha wenzako "kukimbia"Mbele,kwa Uchache Johan Kruff,Frank Rijkaad,George weah Opong,Rivaldo,Ronaldo de Lima,Fabiola Canavaro,Jurgen klinsman,Ruud voller,Zinedine Zidane,Ronaldinho,Pele Maradona,Zico,Lionel Mess na Christiano Ronaldo!wao Waingereza ni kupiga Kelele tuu kwenye Vyombo Vya habari!hata UEFA champions league,Madrid 10 times,AC Milan 7 times,ndo wanakuja Liverpool (EPL) 5 nk.timu za Taifa hivyo hivyo sasa Tuangalie wapi tena?,uje hata Makocha bora na wengi(kwa Utaifa wao)ni Waitaliano na Spain.Sijui Tuangalie wapi tena!
Italy ndo Ana uwezo wa kumsimamisha Spain!
 
hyo ndio ligi ya epl

Kama ni hivyo basi ndiyo inabidi tukubaliane kuwa kila ligi ina aina ya mpira,ndiyo maana la liga mpira wao sio wa fujo lakini kwn uefa Barc na Madrid wanatowa dozi tu.
 
Back
Top Bottom