Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

Tunahitaji katiba mpya haraka sana ili Taifa hili la Tanzania liweze kuendelea, katiba hiyo mpya inahitaji kuwa na yafuatayo
1.tunahitaji katiba ambayo itazipatia Bunge, Mahakama na tume ya uchaguzi nguvu zaidi ili vyombo hivi vifanye kazi bila woga
2. watu watakao kuwa kwenye vyombo hivi watachaguliwa na wananchi kama wachaguliwavyo wabunge na maraisi

3. kurudisha madaraka ya mwisho kabisa kwa wananchi na katiba itaje ni wakati gani wananchi wanatakiwa kuulizwa

4. wananchi wawe na uwezo wa kumfukuza kazi mbunge, judge au raisi wakiona hafanyi kazi yake sawa sawa kwa kukasanya idadi fulani ya sahihi
5. sheria kumlinda mtu yeyote anayetofautiana na mbunge, raisi, judge au hata kamanda wa polisi na aweze kukampeni kama anataka kufanya hivyo ili akusanye sahihi za kutosha kumfukuza kazi kiongozi yeyote wa kuchaguliwa

najua kuna mawazo mawazo mazuri zaidi kutoka kwenu, naomba niwakilishe hoja yangu ili muendelee kuichangia

ahsanteni sana
 
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Idd
 
Duuuuu "Captain" kapigwa chini ? muafaka umemsomba.
 
safari ya cuf kuelekea kufariki kisiasa ndio imeanza?
 
Kwa wale wasiomjua ni huyu hapa na CV yake inafuata
balozi_seif_ali_idd.jpg
 
Naam SEIF wawili wote ni makamu wa Rais ni jambo la kihistoria

Maalim Seif na balozi Seif
seif Iddi.JPG
 
Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Idd

Na Kiutendaji ..

Ilisemakana itakuwa vipi tena...
Nani ni active na nani ni passive..kitu kama hicho?
 
Back
Top Bottom