Movie Reviews

Movie Reviews

Malcom Lumumba, hearly na zitto junior genre zipi mnapenda nyie!?..

Mimi Epic na Fantasy huwa nazikubali sana.

Mfano wa Fantasy ni hizi hapa:
1. Chronicles of Narnia.
2. Lords of the Rings.
3. Harry Potter.
4. Clash of the titans.
5. Wrath of the titans.
6. Immortals.
7. The Monkey King.
8. King Arthur: Legend of the Sword
9. The Mortal Instruments: The City of bones
10. Pirates of the Carribean
11. The Mummy (Franchise)
12. Indiana Jones (The Franchise)

Mfano wa Epic ni hizi hapa:
1. Gladiator
2. King Arthur
3. Troy
4. Kingdom of Heaven
5. 300 (The Franchise)
6. The Patriot
7. The Legend of Zorro (The Franchise)
8. The last samurai
9. The God Father
10. The Good, The Bad and The Ugly
11. Apocalypto
 
Wakatoa na Insurgent...!
Yeah mkuu walitoa Insurgent ile wanatafuta mtu atakayeweza fungua box flani na huyo mtu lazima awe Divergent na waliokuwa wanawekwa kwenye mashine wote walikuwa wanakufa!..
Allegiant: baada ya kufungua na kuonyesha kumbe kuna watu wengine nje ya walls yao ndio ikabdi watoroke kwenda angalia wakakuta kuna binadamu wanawaangalia kama test subjects!.
 
what can i say more!?...These are the bests ingawa kwenye Fantasy sijaangalia 7,9 na 12 na hapo Epic nimeangalia only 5,7,9,10 na 11 tu!..
 
Yeah mkuu walitoa Insurgent ile wanatafuta mtu atakayeweza fungua box flani na huyo mtu lazima awe Divergent na waliokuwa wanawekwa kwenye mashine wote walikuwa wanakufa!..
Allegiant: baada ya kufungua na kuonyesha kumbe kuna watu wengine nje ya walls yao ndio ikabdi watoroke kwenda angalia wakakuta kuna binadamu wanawaangalia kama test subjects!.

Ila sasa wamerefusha story kweli...
 
Sci-Fi series niliyoipenda zaidi ni The Last Ship, mimi huwa siangaliagi movies ni mwendo wa series tu, also hiyo Movie ya LIFE(nishawahi kuiangaliaga hata sio nzuri sana kivile movie nzima mwanzo mwisho watu wapo ndani ya LiBoxi huko space na ilivyoishia sikupenda)
 
Namuelewa sana capt. Tom chandler na wolf
 
Namuelewa sana capt. Tom chandler na wolf
Na Captain Slatery mrithi wa temporary wa Captain Tom Chandler, mkuu season Five episode 1 ndio imeshatoka tayari kaa mkao wa kuifuatilia the last ship season 5 ndio imeanzaanza hivi mpaka mwisho wa mwaka huu naamini itakuwa tayari ishatoka episodes zote na ndicho ninachokisubiria mimi.
Cc. ArchAngel
 
Lazima nitaiangalia, sijui saivi story itakuwaje maana s4 imeishia patamu sana. "nostos"
 
Lazima nitaiangalia, sijui saivi story itakuwaje maana s4 imeishia patamu sana. "nostos"
Yeah mkuu ila nilipopapenda zaidi ni pale kwenye ile battle, jinsi walivyoteka meli ya ziada na kuitumia kama bait daaaahhh patamu balaa pale[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Sci-Fi series niliyoipenda zaidi ni The Last Ship, mimi huwa siangaliagi movies ni mwendo wa series tu, also hiyo Movie ya LIFE(nishawahi kuiangaliaga hata sio nzuri sana kivile movie nzima mwanzo mwisho watu wapo ndani ya LiBoxi huko space na ilivyoishia sikupenda)
Rudi kuangalia wakorea mkuu!!...
 
Inaitwa Crisis hivyo hivyo
Crisis (TV Series 2014) - Episodes - IMDb
Yaani ni balaa sana...Rating yake ni 7 kwenye Rotten Tomatoes.
Itafute japo wengi hawaijui kabisaa!
Hii series za kunyapia nyapia wanasema FBI waliizuia!, ilibuwa na ukweli wake.. Kwamba watu wakifanya kitu kama hicho au wakichukua iyo idea ya kuteka watoto wa viongozi inaweza kuja kuwa balaa!.
 
Hii series za kunyapia nyapia wanasema FBI waliizuia!, ilibuwa na ukweli wake.. Kwamba watu wakifanya kitu kama hicho au wakichukua iyo idea ya kuteka watoto wa viongozi inaweza kuja kuwa balaa!.
Umeiona eeeh ???
Francis Gibson ni balaa!
 
Naona kuna nyingine ilitakiwa toka sijui imekuaje haijatoka. Halafu washaona deal kututolea movie series angalia kama Maze runner na John Wick wanachotufanyia!
Hahahah John Wick is something else mazee.
Waendelee nayo tu,...sijawahi choka kuicheki ile kituuuu!
 
Hahahah John Wick is something else mazee.
Waendelee nayo tu,...sijawahi choka kuicheki ile kituuuu!
Pale Keanu Reeves kacheza movie, na hivi si mwaka huu tutarajie nyingine au ni mwakani!?..

"Tell them i will be waiting and anyone who comes i will kill, i will them all!" hahahahh!!
 
Ni nzuri ila hazina reality yaani hazishawishi, kuanzia marvel comics pote labda black panther tu ila nyingine naona kama za kudanganya watoto mf Captain america winter soldier
Marvel n burudan tupu, sawa ni fiction ideas lakin ukifuatilia ni balaa
 
Back
Top Bottom