Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

Movie scenario!, ni lazima awepo mtu ndani ya CCM, aonyeshe kutokubaliana na hali iliyopo!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Balancing the equation, baadhi ya wakosoaji ni lazima watoke ndani ya ccm ili kutengeneza uwiano ulio mzuri,
#Hata Wana ccm wenyewe hili jambo linawashangaza sana juu wahalifu, katika kuendeleza ualifu wao,
Siamini ya kuwa hata chadema wenyewe wanaidadi kubwa namna hii inayodaiwa watu kupotea, Watu 83 (themanini na tatu)
Watu wote wa Chadema missed hawafiki 20 kwa miaka yote kuanzia 2015 - 2025.
 
Kama hawafiki 22 wanafika wangapi mkuu?
 
Siasa chafu ndizo zimetufikisha hapa...😥
 
Back
Top Bottom