Movie/Series za kuweka mbali na watoto

Hiyo Preacher's daughter sikuimalizia story yake ilinichefua,

Frozen Flower wakorea hao balaa walijua kujiachia,

Kwenye Pirates ongezea na Gladiator, hehehehe
Mkuu kama hutojali, Frozen flower inahusu nini hasa, kuna movie naifananisha
 
Mkuu kama hutojali, Frozen flower inahusu nini hasa, kuna movie naifananisha
Mfalme wa Korea alikua ni anashiriki mapenzi ya jinsia moja na mlinzi wake,
Sasa Mfalme akaoa na akatakiwa apate mrithi na yeye hasimamishi ikabidi amwambie Mlinzi wake afanye mapenzi na Malkia ili ampe Mimba,

Shughuli ikaanza hapo maana yule Mlinzi hakuwahi kufanya Mapenzi na Mwanamke Maisha yake yote alikua ni Mpenzi wa Mfalme,

Alivyoonjeshwa na Malkia wakajikuta wote wamenogewa, ikawa tena sio kupeana Mimba bali mahusiano ya Siri,

Unaweza sasa kuendelea.
 
Bibi dada inabidi tutenge siku tucheki wote au unaonaje? Upande wangu aina hizo za movie nimecheki sana
 
Aisee.. hizi movie sio za kuangalia, zina ushetani wa hali ya juu.. ukifanikiwa kumaliza, unabadilika kabisa, unakua na akili za kishwetani shwetani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…