monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!Jamani..Amen..
Ubarikiwe sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana!Jamani..Amen..
Ubarikiwe sana
Noma sana!Hii movie love story tamu sn,,
Jamaa mmoja tajiri Sana anatoka kuoa mke visiwani Brazil huko.
Anakodisha boat nzima.
Akiwa na mkewe na jamaa zake kurudi ulaya,
Boat inazama.
Wanajikuta kisiwani watu 2 Tu.
Bibi harusi na jamaa mmoja baharia very handsome.
Jamaa ambaye hata Bibi harusi aliwahi kumsifia ni mzuri hata mumewe akahisi wivu.
Baada ya siku 3 bwana harusi nae anaokoka ktk kisiwa kile kile na yule baharia anamuokota pwani akiwa hajiwezi.
Wanakuwa watu 3 mume,na mke na baharia,
Kwahali Ile iliyopo jamaa anaanza kuona wivu pengine Yule baharia kishakula mzigo kwa mkewe.
Hapo ndy movie linaanza rasmi.
Three arrived one survive.
Anapigwa mtu Pu***mbu humo kama hujakojowa wewe muone dakitari.
Hicho kipande cha mbususu nakirudiarudia sn nikizidiwaga.
Iyo kiss and kill hatari
Inaitwaje mkuuAnother one
View attachment 2214948
Inaitwaje aisee? na naweza kuipataje? kuanzia leo wewe utakuwa rafiki yangu tuna mengi ya kushareAnother one
View attachment 2214948
Hiyo movie naitumiaga kama mbinu mbadala kwa msichana mbishi wa kutoa mbususu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh. Nimecheka kweli
Yts.mxNawezaje kupakua movies/series?
Kama kuna website, link au app tafadhali msaada.
Sex lifeIpi nzuri zaidi?
Kama haya mambo ndo yapo nimeahirisha kupakua hiyo Serbian film. Kusoma tu kuhusu hiyo scene ni disturbing sijui ukiangalia unajisikiaje ase.Naona hapo mmeorodhesha filamu zenye maudhui ya ngono ngono kwamba hazifai kutazama.ila kuna filamu ambazo ukizitazama hakika zitakuHaribu kisaikolojia kiasi kwamba utaanza kujiuliza maswali kuhusu utu na ubinadamu. Ni filamu ambazo zimepigwa marufuku kuonyeshwa kwenye kumbi za sinema sehemu mbalimbali duniani. Na filamu hizo ni SERBIAN FILM ya 2010 pamoja na SARO:100 days of sodomy.ya 1970s.hizi filamu mbili zimewekwa kwenye category ya experimental film na zinaonyeshwa kwa makundi maalum peke yake.
Ni filamu ambazo hakika zinatia mashaka hata walioigiza waliwezaje kufanya hivyo. ni filamu ambazo sishauri mtu azicheki if you wish watc for ur own mental risk.
Nawezaje kuiona hiyo Serbian film?Ni 100 days au 120 days mkuu...? Unayo link yake hii kiongozi...?
Hiyo Serbian Film ya 2010 nimeipata bado hiyo Salo mkuu.
Thanking you in advance.
Nawezaje kuiona hiyo Serbian film?
Kwani hajui kudownload hapo anachotaka kujua anawezaje kupata hiyo movieUnai-download kiongozi.
Kwani hajui kudownload hapo anachotaka kujua anawezaje kupata hiyo movie
Unaweza kuiyona movie bila kuipata? sasa unataka kuniambia jamaa hajui kudownload movie? Ingawa kakosea kwenye uwasilishwaji lakini lengo lake kuu ni kuomba umsaidie kuipata hiyo movieAmesema anawezaje kuiona hiyo movie hajasema anawezaje kupata hiyo movie, soma comment yake vizuri mkuu.
Hata kama kuipata pia ana-download tu. Ahsante.