Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
51 Secret societyHello wana JF,
Nawaletea baadhi ya movies/series ambazo si za kutazama na watoto 🔞 yaani ni movie ambazo hazifai kutazama hata na wazazi wako, zingine haifai kutazama hata na wana 🤣🤣🤣msije mkafanyana vibaya huko mi simo.
Kwa pamoja tutaje movie hizo ambazo ni Full vitengo yaani humo ndani🤣🤣🤣🤣🤣iwe movie yenye story nzuri au imezingua story mbaya lakini humo ndani vimejaa vitengo tu, we itaje.
Yaani movies/series hizi ni just wewe na baby wako tu. Mnajifungia humo mnatazama kama unataka kunyanduana na baby wako au mkiishia huko mtajua wenyewe. Mi sipo hukooooooooo
NB: ukitazama mwenyewe usije ukaifanya mikono ikusaidie upige chaputa kimoja cha fasta fasta ndo uendelee kuimalizia..
List ni hii hapa nazitaja tu randomly,wadau mtaijazia
Here we go....
1. Crank
2. The Preacher's daughter
3. 365 days
4. Sex life
5. Kiss and kill
6. Colour of night
7. The Dreamers.
8. Intimacy
9. White girl
10. Pirates
11. Original sin
12. Darker shades of elite
13. In the realm of the senses
14. Illicit desires
15. Spread
16. A man and a woman
17. Lie with me
18. Adulters
19. Sex weather
20. Taste of money
21. Neighbours
22. American pie
23.fifty shades of grey
24. Fifty shades darker
25.beyond the light
26. Second chance
27. Munich
28. After we collided
29. Blue is warmest color
30. The Notebook
31. American psycho
32. Borat
33. Loving
34. Flozen flower
35. Addicted
36. Bad boy
37. Jason lyrics
38. Sez education
39. Bridgeton
40. Killing me softly
41. The handmaiden
42. Sexy life
43. Yellow banana
44. If koving you is wrong
45. Pussy valley
46. The treacherous
47. Just one kiss
48. Sleeping beauties
49. Scarlet innocence
50. High heels homicide
Tupia ya kwako.........
Hiyo ni ya kizungu au korea pia ni movie au series?51 Secret society
52. Into the badlands
,53 The oval
54 OITNB
55 Dark Desire
56;Sex education
57 Wat if
58 Anna
Series na movie ni za kizunguHiyo ni ya kizungu au korea pia ni movie au series?
Lovelovie nilikuuliza serum ni nini ujanijibu kwenye ule ushauri wako na nikakuuliza lotion ipi inanifaa maana mimi situmiagi lotion wala mafutaSeries na movie ni za kizungu
Serum inakua ni kama mafuta mepesi kama upaki lotion unaweza paka serum peke ake kama mafuta Ila kweny kununua kama ngozi YAKO ni ya mafuta usinunie serum yyte ilotengenezwa kwa Nazi nunua serum kampuni nyingine kabisa na isiwe lightening serum au whitening iwe imeandikwa brightening.... Kwa sabb hyo lightning na whitening zinabadili rangi ya ngoziLovelovie nilikuuliza serum ni nini ujanijibu kwenye ule ushauri wako na nikakuuliza lotion ipi inanifaa maana mimi situmiagi lotion wala mafuta
Asante Sana me ngozi yangu ni ya mafuta kwahiyo nichukue hiyo ya serum yenye vitamin C ndio itarudisha ngozi yangu au sio?Serum inakua ni kama mafuta mepesi kama upaki lotion unaweza paka serum peke ake kama mafuta Ila kweny kununua kama ngozi YAKO ni ya mafuta usinunie serum yyte ilotengenezwa kwa Nazi nunua serum kampuni nyingine kabisa na isiwe lightening serum au whitening iwe imeandikwa brightening.... Kwa sabb hyo lightning na whitening zinabadili rangi ya ngozi
Ndio chukua vitamin c serum na uwaambie unahitaji brightening serum... nakutumia picha pmAsante Sana me ngozi yangu ni ya mafuta kwahiyo nichukue hiyo ya serum yenye vitamin C ndio itarudisha ngozi yangu au sio?
Oval umeicheki
Yeah watu wamekariri movie zenye mahudhui ya ngono ndio za kuweka mbali na watoto.ila Kuna movies hususan zenye genre ya psychological horror na za graphic violence hazipasw kuangaliwa na watoto kabisa .Series za kuweka mbali na watoto sio lazima ziwe zinahusu ngono
Hata hii weka mbali na watoto SAW 1,2,3,4,5,6,7,etc.
[emoji50]Kama haya mambo ndo yapo nimeahirisha kupakua hiyo Serbian film. Kusoma tu kuhusu hiyo scene ni disturbing sijui ukiangalia unajisikiaje ase.
View attachment 2217664