Movie/Series za kuweka mbali na watoto


Mi naomba shule kidogo nifanyeje ili kuzidownload jamani
 
Mie mwenyewe sikuielewa nilifata hio mijunjano nimuone staa mmoja alikua anatajwa tajwa sana
The Handmaiden umeielewa?? Ukitoa Minjunjano story yake sijaielewa kabisa au sijui niliboreka mapema?
 
Kuna moja inaitwa love ni ya mwaka 2015 hii inamnyanduano mkubwa Sana lakini story sio nzuri kivile nyingine inaitwa "deep water" hii nimeipenda kwasababu ina story nzuri itakayokufurahisha na mnyanduano sio mkubwa kiivyo
Love ni bonge moja la movie na ina story kali kinyama sema inataka usiiangalie kwa pupa maana hutaielewaaa...... hebu rudi Mkuu kaitazame upya huku umetulia ukiachana na zile threesome za kuleee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Hiyo Crank ni high voltage au...? Ya mwaka gani...?
 
Spartacus blood & sand
Banshee
Rome
Game of thrones
Chenobryl
Viking
Preachers daughter film
All queens men
Sons of anarchy
Black sails
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…