Watu tulisema hapa tukashambuliwa sana na Andrew Tate mpaka tukajiuliza tumemkosea nini huyu jamaa[emoji38][emoji38]
Mimi nilishaanza kuona ushuzi kwenye trailer,nilijua tu muvi itakuwa hovyo. Hizo milioni 473 wangeenda tu kusaidia masikini [emoji23][emoji23][emoji23]
Azam TV MaxHiyo movie inapatikana wapi ?
Ahsante mkuu ngoja nikajionee mwenyeweAzam TV Max
Ukitengeneza kitu kibovu kwa ajili yetu, sisi tunakiruka. Hatuna muda wa kutengeneza vya kwetu ili muone mfano bali tunakimbilia vile vilivyotengenezwa vizuri. Sio kila mtu ni director wa filamuJF kuna wajuaji kazi kukosoa tengenezeni yenu tuone mfano
Kama kitu kimeharibika hata ukikipulizia manukato harufu itatoka tu. Hiyo movie ni mbovu, azam wakajipange upya.JF kuna wajuaji kazi kukosoa tengenezeni yenu tuone mfano
Sasa nita aminije bila kuiona mkuu?Nakushauri usiangalie mkuu. Utakereka tu, nguvu iliyotumika kutuaminisha kuwa movie ni nzuri ni kama ishu ya bandari. Ni mapichapicha tu
Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa
Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme
Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?
Copy na paste ya lile gari la kwenye batman
Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai
Lipia buku 2 uiangalie kwenye app ya Azam maxSasa nita aminije bila kuiona mkuu?
Huko unako tolea mfano walianza bila makosa? yaani movie ya kwanza tena kutoka Africa unataka ilingane na watu walio kwenye industry kwa miaka zaidi ya 100?Ukitengeneza kitu kibovu kwa ajili yetu, sisi tunakiruka. Hatuna muda wa kutengeneza vya kwetu ili muone mfano bali tunakimbilia vile vilivyotengenezwa vizuri. Sio kila mtu ni director wa filamu
Kama wataendelea kutoa movie za ovyo hivi basi hatutapoteza muda kuziangalia. Tutaendelea kufuatilia za USA, Korea na nchi nyingine zilizo serious
Tutengenzee ya kwako kama mfanoKama kitu kimeharibika hata ukikipulizia manukato harufu itatoka tu. Hiyo movie ni mbovu, azam wakajipange upya.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wabongo tukomae na akina Nsyuka na aladini hizi sci-fi tuwaachie wataalam huko Holly wood
Kwani hao watu wa huko mbele walipofanya makosa hawakukosolewa?Huko unako tolea mfano walianza bila makosa? yaani movie ya kwanza tena kutoka Africa unataka ilingane na watu walio kwenye industry kwa miaka zaidi ya 100?