Movie ya EONII hakuna kitu

Kwanza wewe mwenyewe haujiheshimu, ain't no way i am setting my eye on any SciFi movie made by Tanzanians. Ain't no fucking way.
Madogo waliomba niwapeleke wakaicheki nikasema nipepese macho nijionee kilichomo.
 
Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa

Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme

Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?

Copy na paste ya lile gari la kwenye batman

Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai
Ninadhani walipaswa kuwaita curators waiangalie kabla ya public viewing.
 
Kama sisu
 
Nilitoa mawazo yangu mapema sana na kuikataa

Tukauliza IST 2061, wakasema ni ya Umeme

Tukauliza ya umeme model ya 2004 mwaka 2061?

Copy na paste ya lile gari la kwenye batman

Kiswahili hakifai kwenye movie za aina ile, narrators hawafai

We nawe na hio ict cjui imekukera nn.ulitaka watumie gari gani mkuu.ndio kwanza movie ya kwanza ulitegemea iwe sawa na movie za Hollywood kwel
 
JF kuna wajuaji kazi kukosoa tengenezeni yenu tuone mfano

Ni washamba co wajuzi.asa hapo hata waliotengeneza wakikutana na hizi comment aisee watavunjika moyo [emoji23][emoji23][emoji23]wabongo ni wachawi kinoma badala tutoe sapoti baada ya mda tuwe vizur ila mijitu iko negative
 
Kiswahili kina pooza muvi mfano action aya tamka kwa kiswahili, movi ni mbovu ila lugha pia inachangia

Kwa hio ingetumika English [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Ukweli mtupu mkuu...yaani mijitu ilitegemea movie iwe kama zile avengers [emoji23][emoji23][emoji23]cpt picha tukitoa movie ya superhero atavogeuka kituko mtandaoni
 

Kama hufanyi kazi ipp media cjui [emoji3][emoji3]
 
hii movie mi sijafinikiwa kuiona ila kwa nilivoona tangazo lao nikawa nahic kabisa humu shughuli hamna na ile IST yao[emoji28][emoji28]alaf cjui kwa nn azam wanakuwa wanaipa movie fulani booooonge la promo lkn ukifanikiwa kuiangalia hamna kitu
Azam lengo lao ni kurudisha pesa zilizotumika. Wakipata milioni 600 ni hora zaidi maana yake hapo wanatafuta watazamaji 300,000 kati ya 800,000
Wakifanikiwa wataanza tengeneza movie na kuziuza
 
Okay fine, mfano wewe ukiambiwa uonyeshe ni wapi wafanyie maboresho utawaambia waboreshe nini labda ?
[emoji3578]
Sijacomment chochote so far zaidi ya kucheka tu humu kwa sababu bado sijaiangalia movie yenyewe.


Nikitulia nikaata wakati nitaangalia na nitatoa maoni yangu.
Mimi ni mdau mzuri wa michezo ya Azam TV hasa sinema hizi za kwetu,na nimekuwa nikifuatilia kituo kwa kituo.
Na huwa naandika sana maoni yangu kwenye pages zao huko,
Pa kupongeza napongeza sana
Pa kukosoa huwa nakosoa
Mchezo ukiwa mzuri huwa nasema pia
Na ukiwa mbaya naandika vilevile.
 
Okay ukitulia kuangalia unishtue na Mimi nije na pop corn zangu tuangalie pamoja
✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…