Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

always bad play has no good end...kwenye kesi za murder mara nyingi marehemu ndo anakuwa mgomvi...RIP bro was one of my fav artist in Ug ukiondoa Michael Rose n Jose....

Bread n Butter, where you are ft Blue 3..noma sana
 
haaahaaaa yaani pamoja ni majonzi lkn umenichekesha. eti upside down haaahaaa mwee.

ndio tuliohai tujifunze hakuna faida ya kuanzisha ugomvi usio na maana. kikubwa ni amani. tuombee amani, tuishi kwa amani na kila mtu.
 
Walimpendea umaarufu na pesa labda sio kwa wembamba huo aliokuwa nao
Hivi ile video mtu akibamizwa chini ni yeye kweli?
Ndio alikua nanugomvi na bebecool kisa zuwena?
Mh..kwa hiyo watu wembamba hawastahili kupendwa!?!?...
 
Wahanga wa vichapo vya marehemu marafiki katika gameaskari police aliyejaribu kumsimamisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…