Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,437
aisee jamaa alkuja kufanya kazi yke Haswaa,,, kuijaza duniaSaid 42+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee jamaa alkuja kufanya kazi yke Haswaa,,, kuijaza duniaSaid 42+
Ni yenyewe kweli??[/sina uhakika sana
Mbona unaniaibisha mama Sabri...ina maana ni kweli kuwa haujui bikra ni nini? Wala thamani yake? Najua unajua kuwa bikra si sawa na nungayembe.Toka lini mwanamke akadoda wewe
Halaf bikra ndio nini
SawaMbona unaniaibisha mama Sabri...ina maana ni kweli kuwa haujui bikra ni nini? Wala thamani yake? Najua unajua kuwa bikra si sawa na nungayembe.
Duh!! Kwa umri wa 33?Said 42+
Kweli kabisaHivi Weasel ataweza kusurvive kimuziki bila huyu? maana ni kama alikuwa anambeba
haaahaaaa yaani pamoja ni majonzi lkn umenichekesha. eti upside down haaahaaa mwee.Hata mimi nilijua tu yalikua makosa ya marehemu.
Kuna watu wakishakua maarufu basi hudhani kila mtu anaweza kunyenyekea umaarufu wao na kufanya fujo zisizo na msingi.
Umwamba mwingine hua ni upumbavu. Ukipenda fujo ujue ipo siku mambo yatakuendea vibaya.
Sasa bouncer akampiga chini kama vile mtu anaangusha kiroba cha simenti, tena kwa ile style ya kina Taker na Kane, Rest In Peace.(upside down).
Fujo siku zote hazijawahi kua na faida.
Kama hio video aliyopigwa chini na baunsa inaumiza sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ila sijaona hiyo video
Mh..kwa hiyo watu wembamba hawastahili kupendwa!?!?...Walimpendea umaarufu na pesa labda sio kwa wembamba huo aliokuwa nao
Hivi ile video mtu akibamizwa chini ni yeye kweli?
Ndio alikua nanugomvi na bebecool kisa zuwena?
Wanastahili piaMh..kwa hiyo watu wembamba hawastahili kupendwa!?!?...