Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

Mowzey Radio tunamlilia, lakini je tunayafahamu haya?

always bad play has no good end...kwenye kesi za murder mara nyingi marehemu ndo anakuwa mgomvi...RIP bro was one of my fav artist in Ug ukiondoa Michael Rose n Jose....

Bread n Butter, where you are ft Blue 3..noma sana
 
Hata mimi nilijua tu yalikua makosa ya marehemu.

Kuna watu wakishakua maarufu basi hudhani kila mtu anaweza kunyenyekea umaarufu wao na kufanya fujo zisizo na msingi.

Umwamba mwingine hua ni upumbavu. Ukipenda fujo ujue ipo siku mambo yatakuendea vibaya.

Sasa bouncer akampiga chini kama vile mtu anaangusha kiroba cha simenti, tena kwa ile style ya kina Taker na Kane, Rest In Peace.(upside down).

Fujo siku zote hazijawahi kua na faida.
haaahaaaa yaani pamoja ni majonzi lkn umenichekesha. eti upside down haaahaaa mwee.

ndio tuliohai tujifunze hakuna faida ya kuanzisha ugomvi usio na maana. kikubwa ni amani. tuombee amani, tuishi kwa amani na kila mtu.
 
Wahanga wa vichapo vya marehemu
bebe-1-1.jpg
Sqoop-Main.jpg
marafiki katika game
Screen-Shot-2018-01-24-at-4.55.34-PM.png
askari police aliyejaribu kumsimamisha
 
Back
Top Bottom