Ni kweli radio alikuwa anambeba,mwisho wake kimuziki kama yule bella wa yamoto.Hivi Weasel ataweza kusurvive kimuziki bila huyu? maana ni kama alikuwa anambeba
Kwa hiyo unataka kusemaje ? Mimi im big of the radio , kama unabisha tafuta kazi zake , ww unafikiri watu kama museveni au wizkid wakiandika msg za nzito za maombolezo ni wajinga ? Masupa star wakali wengi tu humu hawana nyuzi , bonjov, scorpion, hakeem olajuwan , stephen nzonzi , chris euban, sade, lennox lewis , chicago, dick & chicks, inni kanuze, vanilla ice, lady namu mariam etcHizi sifa za marehemu[emoji23] , kabla ya kifo chake sijawahi ona thread inayomuhusu hata1 hapa JF
Alipigwa msumari km afanyavyo undertaker kule wwe?Hata mimi nilijua tu yalikua makosa ya marehemu.
Kuna watu wakishakua maarufu basi hudhani kila mtu anaweza kunyenyekea umaarufu wao na kufanya fujo zisizo na msingi.
Umwamba mwingine hua ni upumbavu. Ukipenda fujo ujue ipo siku mambo yatakuendea vibaya.
Sasa bouncer akampiga chini kama vile mtu anaangusha kiroba cha simenti, tena kwa ile style ya kina Taker na Kane, Rest In Peace.(upside down).
Fujo siku zote hazijawahi kua na faida.
Unamaanisha wembamba hawapendwi?? [emoji144]Walimpendea umaarufu na pesa labda sio kwa wembamba huo aliokuwa nao
Hivi ile video mtu akibamizwa chini ni yeye kweli?
Ndio alikua nanugomvi na bebecool kisa zuwena?
Wanapendwa na watu wao piaUnamaanisha wembamba hawapendwi?? [emoji144]
Watu wao meaning wembamba wenzao? HahahWanapendwa na watu wao pia
Hapana namaanisha pia kuna watu wanapenda wanaume vimbaumbauWatu wao meaning wembamba wenzao? Hahah
Ww unapenda type gani ? May be nitapata nafasiHapana namaanisha pia kuna watu wanapenda wanaume vimbaumbau
Njoo kwenye uzi wa kutupia picha za mahandsome kule chitchat utaona mfanoWw unapenda type gani ? May be nitapata nafasi
Kaka kuna sehemu sijakuona Shikamoo[emoji15] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3] basi Sawa, kwa reply hii nishajua Unapenda Nini.. Say No MoreHapana namaanisha pia kuna watu wanapenda wanaume vimbaumbau
poa myNjoo kwenye uzi wa kutupia picha za mahandsome kule chitchat utaona mfano
Babu yangu(RIP) aliwahi kuniambia kuwa hakuna marehemu mbaya. Yaani mtu akishafariki ni ngumu na ni mara chache mno kuzungumziwa mabaya yake. Kinachotawala huwa ni mema ya marehemu tu!
Mowzey Radio jina halisi ni Moses Ssekibogo kaicha dunia akiwa bado kijana kabisa miaka 33. Alikuwa na kipaji cha sanaa na kupendwa pia. Inawezekana kabisa kama ni mashindano ya kupendwa Kampala angeweza kuchukua number moja. Alipendwa sana yeye na nyimbo zake pia kupendwa huku hasa na mabinti na wanawake ilimpelekea kuwachakaza hasa.
Alikuwa anaelekea kwenye kilele cha mafanikio kupendwa, utajiri na umaarufu kifo kilipomkuta kwenye ugomvi uliotokea kilabuni kwa kupokea kipondo kilichosababisha alazwe hospital siku kadhaa.
Mowzey Radio msanii huyu maarufu akifanya kazi zake na Weasel licha ya kipaji mafanikio na kupendwa kwake alikuwa ni kijana mkorofi sana na mwenye jazba sana. Hali hii ilimpelekea kugombana na kuwa na mitafaruku ya mara kwa mara na watu wake wa karibu, wasanii wenzake na wana jamii.
Magomvi yake ni mengi lakini kwa uchache yanayokumbukwa zaidi ni kati yake na
1. Khalifa Aganaga. Huyu waliwahi kufanya kazi pamoja Goodlyf
2. Bebe cool msanii mwenzake
3. Jeff Kiwa manager
4. Traffic police. Huyu mama akitaka kumkamata kwa makosa ya kuendesha gari kwa fujo na ulevi
5. Huu wa mwisho ulioondoka na roho yake inasemekana alimuita bouncer wa bar husika BOOZER ambayo maana yake kwa kiswahili ni mlevi mbwa.
Mowzey alikuwa anapenda kujiona star na kutaka kupewa VIP treatment kila alipokuwa hali iliyomfanya agombane na watu kila mara. Kwenye msiba wa Ivan alichukua laptop ya DJ na kuitumbukiza kwenye maji kwa kisa kidogo tu.
Waganda wanamlilia sana. Museveni Kaguta alichangia dola 8300 kwenye Matibabu yake lakini hakuweza Kupona. Kaondoka ni msiba mkubwa kwenye tasnia ya usanii Afrika mashariki lakini huo ndio ulikuwa upande wake wa pili.
RIP Mowzey Radio