[emoji2][emoji2][emoji2] aisee kwa hiyo walevi ni kama tayari hawapo duniani [emoji1787]
YeahHakika nothing permanent
Kuna ukweli ndani yake
Nashukuru sana 🙏🏾Usikae kinyonge
Usisononeke.. Maisha bado yapo na siku hazigandi.. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto za kipato
Changamoto za ajira
Changamoto za kimaumbile (vibamia nk)
Changamoto za mahusiano (usaliti kuachwa nk)
Changamoto za kifamilia
Changamoto za ndugu
Changamoto kazini nknk
Karibu wewe mpweke na uliye karibu kukata tamaaView attachment 3133609
Kipato changu hapanaNashukuru Mungu sasa hivi na enjoy kwa asilimia mia.
Wito wangu vijana tafuteni mpenzi/mke anayekupenda na kisha mueleze ukweli kuhusu maisha yako.hali yako.kipato chako.historia yako...