Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Moyo mpweke pita hapa upate faraja

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Usikae kinyonge

Usisononeke. Maisha bado yapo na siku hazigandi. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho

Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto za kipato
Changamoto za ajira
Changamoto za kimaumbile (vibamia nk)
Changamoto za mahusiano (usaliti kuachwa nk)
Changamoto za kifamilia
Changamoto za ndugu
Changamoto kazini nknk
Karibu wewe mpweke na uliye karibu kukata tamaa
FB_IMG_1729672279703.jpg
 
Usikae kinyonge
Usisononeke.. Maisha bado yapo na siku hazigandi.. Unayopitia walishayapitia wengine wewe si wa kwanza na wala hutakuwa wa mwisho
Pita hapa uone pia shuhuda za wengine
Changamoto za kipato
Changamoto za ajira
Changamoto za kimaumbile (vibamia nk)
Changamoto za mahusiano (usaliti kuachwa nk)
Changamoto za kifamilia
Changamoto za ndugu
Changamoto kazini nknk
Karibu wewe mpweke na uliye karibu kukata tamaaView attachment 3133609
Nashukuru sana 🙏🏾
 
Unamuumiza hisia zake halafu unamlazimisha acheke, atabasamu😭
200+ Broken Heart Tattoo Designs (2024) Torn, Hear.jpeg
 
Back
Top Bottom