Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Hello mambo JF!
Muda mchache mambo ni mengi, usisumbuke asili ya tamaa ni vitu kama ilivyo kwa mwanamke na kuku, wote tamaa yao huvutwa na mvuto vitu kama afanyavyo kuku.
Hata angeona hatari gani, uchu wake mrushie mchele ndio utajua nguvu ya mchele kwake kuku, vivyo vivyo hivyo mwanamke vyovyote vile kama hawajileti basi fanya mpango wa vitu, usisahau na pesa nayo ni ipo katika vitu.
Pesa ni kilainishi cha upatikanaji wa raha na utamu wa duniani.
Wadiz