DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
So hautaki tuzagamue Mkuu hata Kama ni wewe huwezi kuacha kuzagamua.Vitoto vya 2000's hamjitambui,kichwani mmejaza misifa ya kijinga. Unajisifu kutembea na wake za watu?
Nakushauri uwe unatembea na mafuta ya Nazi mfukoni ili iwe rahisi kukuzagamua siku mwenyewe Mali akikufuma.