DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
So hautaki tuzagamue Mkuu hata Kama ni wewe huwezi kuacha kuzagamua.Vitoto vya 2000's hamjitambui,kichwani mmejaza misifa ya kijinga. Unajisifu kutembea na wake za watu?
Nakushauri uwe unatembea na mafuta ya Nazi mfukoni ili iwe rahisi kukuzagamua siku mwenyewe Mali akikufuma.
Ndio tunawavua kama samaki ukitupia tu imo imo imooooo....🤣🤣🤣Si mlikubaliana hamuoi? Niachieni warembo wote tz niwafaidi pekeyangu 😅
Ivi ni kwa nini mkuu?Halafu ajabu wake za watu ndo wamekuwa more cheap than others.
Sababu mojawapo ni penye wawili kukosana na unafiki vipo, pia ndoa Ina majukumu kuna kupata na kukosa na mwanamke haamini katika shida, kingine mwanamke ni kiumbe wa mazoea kama anafanya basi anazoea utamu na raha ya kufanya tendo hivyo kiu yake iko karibu na kila anapotoka na mtu anapata raha na chochote kitu ikiwa ni pamoja na faraja.Ivi ni kwa nini mkuu?
Mkuu nimeshajiuliza hata mimi ila sijapata jibu aisee.Ivi ni kwa nini mkuu?
Mhm kuna wengne wakishapata ndoa wanafungulia majeshiSababu mojawapo ni penye wawili kukosana na unafiki vipo, pia ndoa Ina majukumu kuna kupata na kukosa na mwanamke haamini katika shida, kingine mwanamke ni kiumbe wa mazoea kama anafanya basi anazoea utamu na raha ya kufanya tendo hivyo kiu yake iko karibu na kila anapotoka na mtu anapata raha na chochote kitu ikiwa ni pamoja na faraja.
Wake za watu wamekuwa rahisi kabsa ,kuna mke wa mtu aliniiachia simu yake bahati mbaya nikasoma msg anachati na shoga yake yaan rfki yake wa kike, yani ni ujinga tu mpka nikataka kumsanua mshkaji kumbe na mimi ni mwiz tu [emoji38][emoji1] ikabdi nivungeMkuu nimeshajiuliza hata mimi ila sijapata jibu aisee.
Chief najua hoja kuu mnataka wanawake wabadilike na kurudi kwenye mstari na maadili wayazingatie, ila kidogo tutumie kauli zilizonastaha. Huna haja ya kutukana wanawake wote, unamama na ninamama, tujadili kitu kwa lugha ya staha. Lugha za matusi hivi zinamfanya hata unaetaka kumrekebisha akudharau na asikusikilize. Lugha na maneno aisee!Kwaiyo pesa ni kwa ajili ya kuchezea ili upate uchi unaonuka wa Wanawake watz wasiojitambua mikosi kibao.
Hizo pesa Mimi siwezi kuwapa hata waandamane na siachi kuzagamua wake za watu.
Hawa wanawake huwa wanadhani wao Wana haki ya kuchezea hela zetuView attachment 2527755
Wengine wanataka hela kuliwa hawataki