Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Kweli na mimi leo nimekula cocies hapa ili niweke akili sawa kidogo...Now am feeling dizzy 🤣🤣🤣🤣
Yaani utoke humo JF, maana uchelewi kwenda pm ya max.

kwahiyo mkuu hapo upo high high, burudani kabisa.

ila raha kuvuta dry bangi halafu uchat JF.... 😄😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.

Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili ni kweli kabisa.

Hivyo kwa hali hii baada ya kutambua ukweli nimeazimia kusonga mbele na kuweka akili yangu kwenye majukumu yangu zaidi. Nafahamu ipo siku nitapata mwingine mwenye upendo wa kweli zaidi ya huyu aliyeuponda na kuumiza mtima wangu, nina hakika Mungu atanipa mwongozo mzuri sana juu ya hili na kunisimamia vizuri katika hili.

NB: Wanawake wazuri na wenye hekima bado wapo wengi, sitakata tamaa ya kupenda kabisa, nitampata mzuri zaidi yake naamini.
Interesting
 
Wewe kuna nati imelegea bro!! Humu mishangazi, single maza na mapampula ya kutosha si ujibebeshe moja utulie nalo!
 
Sema yule demu hakupata Cha ndoa wala nn sema kakukwepa Mwenetu na kasema hatumii tena ID yake means anakuja na ID nyngn changa karata vema
 
hiyo animation itafute uiangalie. Unajua nimekaa na watoto wa baba yangu mdogo huwa nawawekea animation waangalie

Nina dish la Azam na DSTV na vipindi ukiwaachia remote wanaangalia vitu vya ajabu. Pia watoto wanaelewa cartoon more than anything in the world. Sasa lazima unlimit vitu wanavyangalia🙂

niliweka parental control dstv aisee nikaja kuta wanaingiza codes vitoto vya siku hizi vina akili sana aisee
Vipo sharp sana hata mm nilikuaga mtoto wa aina Ake nilikuaga napelekwa na mzee kurekebisha tv na issue za ki IT 🤓🤓 miaka Ile ya Giza....
 
Back
Top Bottom