Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

A world hurts.... Wengi tuna mengi humuuu kama wanaumeee. Wanaume kazi yetu kubeba vitu vizito.. usikonde mzee! Mm nikikusimulia hapa utashangaa sana mpaka kuchagua kuwa jokeri humu jukwaani 🥹.
Moderator ombi langu la kuongeza jina kuwa "midabwada bin kibamia" limeishia wapiiiiiii?
Ukisema Jokeri Unamaanisha nini?
 
Mapenzi bhana unaweza kudhani yana undugu na Arsenal... Yanakupa miraha kibao unaambiwa.
mwishoni unajikuta Bakhmut
FB_IMG_16852760301485137.jpg
FB_IMG_16852760378943056.jpg
 
Mimi ID yangu ni hii moja tu, muda wa kuwa na zingine sina na sitakuwa nao. Utakuta mtu ana ID mbili, nyingine anaitumia kujipinga yeye mwenye, moja anaanzisha uzi, nyingine anajibishia.
Sisi wenye Id MOYA tupewe tuzo....😃☺️☺️😊
Alisikika mzilankende mmoja
 
Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.

Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili ni kweli kabisa.

Hivyo kwa hali hii baada ya kutambua ukweli nimeazimia kusonga mbele na kuweka akili yangu kwenye majukumu yangu zaidi. Nafahamu ipo siku nitapata mwingine mwenye upendo wa kweli zaidi ya huyu aliyeuponda na kuumiza mtima wangu, nina hakika Mungu atanipa mwongozo mzuri sana juu ya hili na kunisimamia vizuri katika hili.

NB: Wanawake wazuri na wenye hekima bado wapo wengi, sitakata tamaa ya kupenda kabisa, nitampata mzuri zaidi yake naamini.
inaonesha ulimpenda kupitiliza mpaka ukamuweka juu sana.
 
Back
Top Bottom