Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Jifariji jipe moyo jikaze na upambane, kama wewe ndio mpenzio wa kwanza huyo basi hiyo ni trela tu ktk movie mzigo kamili haujaanza.
Ushauri wa bure, acha kuwaza wanawake wazuri, walimshinda hata Samsoni mwamba mnadhuri wa Mungu. Tafuta mwanamke wa kawaida itakupunguzia maumivu japo haiwezi kukuondolea kbs.