Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.

Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili ni kweli kabisa.

Hivyo kwa hali hii baada ya kutambua ukweli nimeazimia kusonga mbele na kuweka akili yangu kwenye majukumu yangu zaidi. Nafahamu ipo siku nitapata mwingine mwenye upendo wa kweli zaidi ya huyu aliyeuponda na kuumiza mtima wangu, nina hakika Mungu atanipa mwongozo mzuri sana juu ya hili na kunisimamia vizuri katika hili.

NB: Wanawake wazuri na wenye hekima bado wapo wengi, sitakata tamaa ya kupenda kabisa, nitampata mzuri zaidi yake naamini.
Ipo hivi kijana, ukinyimwa au kukataliwa usijiskie vibaya. Shukuru, tuliza Mutima, vuta subira kuna kitu umeepushwa na kuna kheri na Neema mbeleni. Songa mbele
 
SkuizAkuna mahaba yeah Mahabaah
Mapenzi yamkataba mbaka kufa yamekwishaah
Ninehema ukiwaUnahemaa
mapenz yanachosha yanafujarahaah
Nafsiyangu inasemaah
Bolanimpende tu alionizaah…….[emoji1]
By- Alikiba
 
Back
Top Bottom