Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

Moyo wangu umepondeka mno juu ya mahusiano yangu na huyu binti

😀 na hizi mvua sijala mzigo kitambo mama watoto yuko uzazi
naweza lala nikapiliza ukafa kwa ugumu 😀 ila wanawake wa huku hawana huruma hata kumsaidia mwanamke mwenzao kumtunza bwana😬
😅😅😅😅 weee vumilia tu miezi sita mbona michache tu
 
Mumsaidie mwanaume mwenzenu kutoka ktk hiyo hali, maana anaelekea kubayaa zaidi. Lol
Kuna baadhi ya mambo ni ngumu kumsaidia mtu. Imagine hata kiganja chake Cha mkono hajawahi kukiona, ila anaweweseka.

Ushauri ninaompa, next time akimuelewa mtu amfate PM, na kama pm imefungwa, awe mpole. Imagine unapigwa kibuti mbele ya public, hata kama ni wewe, lazima upate mhaho.
 
Kwako nitakuwa salama mkuu 😁😁😁
dah hata ukigoma zawadi pa tu
Screenshot_20230530_180858_Google.jpg
 
Back
Top Bottom