Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Yaani utoke humo JF, maana uchelewi kwenda pm ya max.Kweli na mimi leo nimekula cocies hapa ili niweke akili sawa kidogo...Now am feeling dizzy π€£π€£π€£π€£
InterestingHabari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.
Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ngβombe wa maskini hazai, hili ni kweli kabisa.
Hivyo kwa hali hii baada ya kutambua ukweli nimeazimia kusonga mbele na kuweka akili yangu kwenye majukumu yangu zaidi. Nafahamu ipo siku nitapata mwingine mwenye upendo wa kweli zaidi ya huyu aliyeuponda na kuumiza mtima wangu, nina hakika Mungu atanipa mwongozo mzuri sana juu ya hili na kunisimamia vizuri katika hili.
NB: Wanawake wazuri na wenye hekima bado wapo wengi, sitakata tamaa ya kupenda kabisa, nitampata mzuri zaidi yake naamini.
[emoji38][emoji38][emoji38]na suti zao wanafuaga na sabuni zinakakamaa kama zina kifafa
Umedata tayari, weka simu pembeni upaki Basi, ila usiwe unabugia nyingi hivyo ule taratibu.... π€ πππNashangaa naona maandishi yanazidi kuwa madogo π€£π€£π€£ halafu sioni keyboard yangu πππ
34?umewahi kuonana na muhusika in personal?Sio mimi!
Amempata mlokole sasa...π€£
Nina 34yrs sasa!
Yaah afanye AOE Sasa π€π€π€π€haha π
ila mpe ushauri huyu IamBrianLeeSnr sis tuko kwenye ndoa ili apate kuwa kwenye ndoa. Yeye analimbilia 40 π€£
Yupo vizuriNice line na hua namkubali sana faridi kubanda
Vipo sharp sana hata mm nilikuaga mtoto wa aina Ake nilikuaga napelekwa na mzee kurekebisha tv na issue za ki IT π€π€ miaka Ile ya Giza....hiyo animation itafute uiangalie. Unajua nimekaa na watoto wa baba yangu mdogo huwa nawawekea animation waangalie
Nina dish la Azam na DSTV na vipindi ukiwaachia remote wanaangalia vitu vya ajabu. Pia watoto wanaelewa cartoon more than anything in the world. Sasa lazima unlimit vitu wanavyangaliaπ
niliweka parental control dstv aisee nikaja kuta wanaingiza codes vitoto vya siku hizi vina akili sana aisee
Mlianza hatua za awali Kama picha na chatting zenu?Hakutaka tufike huko nahisi hakunipenda na akaona aendelee na mambo yake ila nimegundua ni mtu wa drama sana!
Anyways,kwa age yako,achana na hizi attention unazitoa,,wakubwa tukipigwa chini unatulia tuli kama nothing happened unaugulia kimoyomoyo...unapoachwa lazima uwe strong Kama umeacha hiyo ndio principleHilo pia ilikua ni kingele hakutaka kunipa namba zake! Mawasiliano yetu ni mtandao ni..
Sina utofauti mkubwa Sana kiumri na wewe,sema akili inatakiwa kukomaaUshauri mzuri huu...Ahsante sana..Kumbe wakubwa mnavumilia mengi hivi π€£π€£
Uko vizuri kwenye mambo ya IT? au ufundi tu?Vipo sharp sana hata mm nilikuaga mtoto wa aina Ake nilikuaga napelekwa na mzee kurekebisha tv na issue za ki IT π€π€ miaka Ile ya Giza....
Utundu?? Utundu tu.Uko vizuri kwenye mambo ya IT? au ufundi tu?
Mkubwa halilii mapenzi,,,,Mkubwa analia na majukumu,,unamliliaje mtu keshakukataa?Kweli kabisa sasa nimeanza kuelewa..
Huu msemo wa UKIONA MTU MZIMA ANALIA UJUE KUNA JAMBO nidhahiri kuwa wakubwa mnapitia magumu mengi sana...