Ukisema Jokeri Unamaanisha nini?A world hurts.... Wengi tuna mengi humuuu kama wanaumeee. Wanaume kazi yetu kubeba vitu vizito.. usikonde mzee! Mm nikikusimulia hapa utashangaa sana mpaka kuchagua kuwa jokeri humu jukwaani 🥹.
Moderator ombi langu la kuongeza jina kuwa "midabwada bin kibamia" limeishia wapiiiiiii?
haha sasa ungekuw uko vizuri u gepewa umod🙂Utundu?? Utundu tu.
haha sasa ungekuw uko vizuri u gepewa umod🙂
niko macho tho naend lala mda kama nusu saa nasom story onlineHujalala tyu
Kwa haya ninayoyaona, memba wanaweza wasizidi hata kumi!
Achana na Mambo za kulialiaNimezungumza tayari hayo yote hapo juu!
Hehehe wewe bwana. Haya!Ukisema Jokeri Unamaanisha nini?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mapenzi bhana unaweza kudhani yana undugu na Arsenal... Yanakupa miraha kibao unaambiwa.
mwishoni unajikuta Bakhmut
View attachment 2644070 View attachment 2644071
Huyu atahitaji kupata mtaalam wa saikolojia kwanza kabla ya kufika kumtibia ulcers.Dr Restart na DR SANTOS haw wako kwenye fani. Akiona anamaumivu ya kuachwa IamBrianLeeSnr uwaone kwa sababu una ulcers pia
Sisi wenye Id MOYA tupewe tuzo....😃☺️☺️😊Mimi ID yangu ni hii moja tu, muda wa kuwa na zingine sina na sitakuwa nao. Utakuta mtu ana ID mbili, nyingine anaitumia kujipinga yeye mwenye, moja anaanzisha uzi, nyingine anajibishia.
inaonesha ulimpenda kupitiliza mpaka ukamuweka juu sana.Habari wanajamii, nielekee kwenye hoja husika moja kwa moja.
Nilikuwa na matarajio mengi sana juu yake lakini imekuwa ndivyo sivyo. Nilifikiria sana baada ya kumfungulia thread/Uzi kwakuwa nilimhada na kumpenda sana ila haikuwa bahati yangu kama wasemavyo wahenga, ng’ombe wa maskini hazai, hili ni kweli kabisa.
Hivyo kwa hali hii baada ya kutambua ukweli nimeazimia kusonga mbele na kuweka akili yangu kwenye majukumu yangu zaidi. Nafahamu ipo siku nitapata mwingine mwenye upendo wa kweli zaidi ya huyu aliyeuponda na kuumiza mtima wangu, nina hakika Mungu atanipa mwongozo mzuri sana juu ya hili na kunisimamia vizuri katika hili.
NB: Wanawake wazuri na wenye hekima bado wapo wengi, sitakata tamaa ya kupenda kabisa, nitampata mzuri zaidi yake naamini.
Sifa ya kua mod ni cheti Cha IT auhaha sasa ungekuw uko vizuri u gepewa umod🙂