Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

kwanza pole,hilo jambo wewe sio wa kwanza na hutakuwa wa mwisho kukutana nalo.usihofu na wala usipoteze muda kuhuzunika.pambana furaha na maisha bora yapo hapo pembeni yako
 
Ni kweli usemayo, ila siku zote anayeanza kushtataki ndo sheria inambeba.
 
Huu ni ushauri mzuri.

Jamaa anafeel guilty, anahisi kakosea na hastahili msamaha. Ndo hao huwa wabajitia kitanzi wasipopata mfariji
 
Ndugu yangu, hakuna Hali ya kudumu, Kila kitu kina mwanzo na mwisho, usiwakimbie wazee wako ukiwa katika Hali hiyo maana utawatia simanzi

Vumilia
Nimewahi pitia Hali hiyo na maisha yanaendelea
Hawa mbwa (kasoro baba angu) wote motoni
Amin
Hawa mbwa (kasoro baba angu) wote motoni
Amin[emoji24][emoji24][emoji24][emoji1544][emoji1550][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo dharau na nyodo zake ndizo zilimfanya mumewe aibe kazini hadi kusimamishwa kazi? Mbona ni kama watu hamjaelewa content ya huu uzi, amesema mwanaume baada ya kurudishwa nyumbani kwa ajili ya uchunguzi ndipo alipobadilika zaidi, waganga, pombe nyingi na hatimae akamwambia waachane kwa kujiona sio mume bora na hawezi kua baba bora tena, ni wazi mumewe amekata tamaa na ana hofu ya kwenda jela au kurudi maisha ya ukapuku....
 
Ndugu yangu, hakuna Hali ya kudumu, Kila kitu kina mwanzo na mwisho, usiwakimbie wazee wako ukiwa katika Hali hiyo maana utawatia simanzi

Vumilia
Nimewahi pitia Hali hiyo na maisha yanaendelea
Hawa mbwa (kasoro baba angu) wote motoni
Amin
Mbwa anatombana na mbwa mwenzake
Mbwa anazaa na mbwa mwenzake kwa hiyo wewe ni mbwa jike

Wote mambwa
 
Pia ameeleza kuwa mme wake huko kazini kwake alikuwa na wanawake 4, unaweza Kukuta jamaa akiona kabisa hapa nimekosea kuoa ndiomaana akawa mtu wa michepuko tu
 
Pia ameeleza kuwa mme wake huko kazini kwake alikuwa na wanawake 4, unaweza Kukuta jamaa akiona kabisa hapa nimekosea kuoa ndiomaana akawa mtu wa michepuko tu
Amekosea kuoa baada ya kuishi pamoja kwenye shida na hata hiyo kazi iliyompa jeuri ya kua na michepuko ameitoa kwa huyo huyo mke aliyekosea kumuoa.... tukubali tu maskini akipata makalio hulia mbwata mbwata mbwata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…