Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Amekosea kuoa baada ya kuishi pamoja kwenye shida na hata hiyo kazi iliyompa jeuri ya kua na michepuko ameitoa kwa huyo huyo mke aliyekosea kumuoa.... tukubali tu maskini akipata makalio hulia mbwata mbwata mbwata
Hata nyie wanawake mkishaolewa kwa ndoa kabisa Huwa tabia yenu inabadilika maana Sasa unajiamini tofauti na mkiwa mnaishi tu na mwanaume kisela
 
Pole Sana mkuu , endelea kumuomba mungu na kumuombea pia mumeo huenda akawa amechanganyikiwa
 
acheni mpate mnachostaili maana mkipendwa na watu sahihi mnawakataa matokeo yake mnaangukia mikononi mwa mmbwa mwitu komaa achakulia lia .pole lakini
Utamjuaje? Unaweza pata mtu akaonesha upendo kumbe sio sahihi kwako na upendo ukawa ni wa muda tu kumbuka watu hubadilika. Haya mambo hayatabiriki.
 
Amekosea kuoa baada ya kuishi pamoja kwenye shida na hata hiyo kazi iliyompa jeuri ya kua na michepuko ameitoa kwa huyo huyo mke aliyekosea kumuoa.... tukubali tu maskini akipata makalio hulia mbwata mbwata mbwata
Kila achague uona ni chaguo sahihi yanayokuja tokea mbeleni ni mtihani tu na michezo ya shetani
 
Pamoja na kuwa kuna watu wanaonekana ni binadamu wenzetu lakini ni mashetani ndani yao......tunapata kuujua ushetani ulio ndani yao kupitia matendo yao ya kikatili dhidi ya wanadamu wenzao......... matendo ambayo hayana hata chembe ya huruma wala kujali maumivu na machungu wanayopitia au kupitia binadamu wenzao..........wametawaliwa na ubinafsi wa kujali maslahi yao.......

Imagine unajitoa moyoni dhidi ya mtu kwa mapenzi yako yote hali ya kuwa yeye ameamua kukuigizia huku akitumia mapenzi na mahaba yako kwake kwa manufaa yake......baada ya malengo yake kutumia anakuacha na maumivu makali huku ukiwa hujui ni wapi ulimkosea mpaka kustahili maumivu hayo............

Anakuachia maombolezo ya msiba wa moyo bila mazishi.....ni jambo lenye kuuma na kuumiza sana......

Mungu awatie nguvu watu waliopata bahati mbaya ya kukumbana na mashetani badala ya wenza maishani na awavushe salama kwenye kipindi hichi kigumu........

Inshallah........
 
Inawezekana wew ulimpenda ila jamaa hakuwa na wew toka mwanzo.

Kama ulikuwa unampenda, ulikuwa una msaidia. Na wew ni mrembo.
Ni rahisi jamaa kuforce kukupenda but upendo wa hivyo si stahimilivu.
 
Utamjuaje? Unaweza pata mtu akaonesha upendo kumbe sio sahihi kwako na upendo ukawa ni wa muda tu kumbuka watu hubadilika. Haya mambo hayatabiriki.
Ni muhimu ujue kwanni mtu anakupenda.
Je wew ni mrembo? > vipi akikutana na mrembo zaidi yako.

Au kwa sababu unamsaidia > vipi akipata uwezo zaidi yako.

Ni kweli watu tunabadilika.
 
Ni muhimu ujue kwanni mtu anakupenda.
Je wew ni mrembo? > vipi akikutana na mrembo zaidi yako.

Au kwa sababu unamsaidia > vipi akipata uwezo zaidi yako.

Ni kweli watu tunabadilika.
Mwingine anapenda kwa kuangalia vitu fulani vya ktk mwili au material fulani tangible. Vipi iwapo hivyo vitu vikiondoka?

Kuna busara katika haya maandishi. Kila mwenye mahusiano asome na kuelewa.
 
Aise pole sana ndo maana mwisho wa siku mjinga amuoe mjinga mwenzie tu,
Na wakiwasomesha af mkawaacha wanaanza kutaka kujiua
 
pole sweetheart
 
Pengine wewe unaweza kua ni mjukuu wangu.
Mimi kuwa mjukuu wako na wewe kuoa ni mambo mawili tofauti, anyway ntaashumu umeoa, tena zamani. Sasa babu, wewe hujawahi kumcheat bibi?

Babu, Dunia ya leo ikiwa kila mwanamume atayekamatwa kachepuka adhabuyake ikawa kuachwa, mamilioni ya ndoa zitavunjika huko. Sikuhizi ni rahisi sana mchepukaji kukamatwa kuliko enzi zenu. Japo uchepukaji umekuwepo tangu na tangu.
#Busara_za_mjukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…