Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana yake ni kwamba 50% ya ardhi ya tanzagiza kuwa kama hifadhi ya ngorongoro au serengeti out of bounds kukanyaga kwa yoyote ( by yoyote ni sisi ngozi nyeusi na masikini ofcourse) yote itatengwa for hunting na mambo mengine for the wealthy.
Sasa kwa waliokuwa wanawadhalilisha wamasai kwamba lazima wahame wanharibu mazingira, its your turn kuhama/mishwa kwenu mlipoishi kwa vizazi na vizazi …
Sasa kwa waliokuwa wanawadhalilisha wamasai kwamba lazima wahame wanharibu mazingira, its your turn kuhama/mishwa kwenu mlipoishi kwa vizazi na vizazi …