Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Iwe ya kweli ama si kweli. Lakini nimekuwa nikisema mara kadhaa humu, itafika tu siku, unataka kwenda sehemu unaambiwa huruhusiwi kukanyaga hapo. Ndipo kila mtu atatamani siku zirudi nyuma akili iwe inafanya kazi. Too late