Mpaka 2026, 50% ardhi ya Tanzania kuwa hifadhi for CO2 Certificates!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
Msiseme hamkusikia lkn habari ndiyo, mpaka mwaka 2026 > 50% ya ardhi ya Tanzania ( bila visiwani pemba na unguja ofcourse) kuwa hifadhi, kwa ambao hilo neno litawatatiza na kuweza kurelate maana yake ni kwamba 50% ya ardhi ya tanzagiza kuwa kama hifadhi ya ngorongoro au serengeti out of bounds kukanyaga kwa yoyote ( by yoyote ni sisi ngozi nyeusi na masikini ofcourse) yote itatengwa for hunting na mambo mengine for the wealthy.

Sasa kwa waliokuwa wanawadhalilisha wamasai kwamba lazima wahame wanharibu mazingira, its your turn kuhama/mishwa kwenu mlipoishi kwa vizazi na vizazi …
 
Mkuu! Umetumia kilevi gani?
 
Mzungu hawezi kununua Carbon ya Zuluma mpaka sasa kule kwenye Misitu ya Ngamia kuna MKWAMO !!!
 
Mkuu pombe sio chai
 
Hatutofika huko tutapata ufumbuzi njiani ambao upo tayari.

Wanaotaka hilo tumeshawamudu
 
Mzungu hawezi kununua Carbon ya Zuluma mpaka sasa kule kwenye Misitu ya Ngamia kuna MKWAMO !!!

imeisha hiyo, uae amewekeza 7 billion usd, (ingawaze hazionekane ) lkn ndiyo hivyo …
 
Hatutofika huko tutapata ufumbuzi njiani ambao upo tayari.

Wanaotaka hilo tumeshawamudu

imeisha hiyo ndugu, sasa hamisha hamisha kama ya kwa wamasai itaanza 2025 na nchi nzima …
 
Nchi inauzwa kwa kasi ya kutisha na hela ndio hizo zinaenda CHAUMMA ili kuiua CHADEMA.
 
Sawa. Na utabiri gani mwingine ushawahi kuutoa ukawa?
 
Nimeona vichwa vya vichaa kadhaa hapo juu, wameshindwa kushughulisha vichwa vyao kidogo tu kuelewa kilichoandikwa!

Ugali wa kitonga unaharibu upstairs za wengi
 
Kwani miti si tunapanda tu kwani ni lazima tukuuzie ardhi yetu tupande miti??
 
Hii biashara ya carbon bado inahitajika uelewa mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…