Bantu Lady JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 9,869 Reaction score 32,712 May 25, 2025 #21 Iwe ya kweli ama si kweli. Lakini nimekuwa nikisema mara kadhaa humu, itafika tu siku, unataka kwenda sehemu unaambiwa huruhusiwi kukanyaga hapo. Ndipo kila mtu atatamani siku zirudi nyuma akili iwe inafanya kazi. Too late
Iwe ya kweli ama si kweli. Lakini nimekuwa nikisema mara kadhaa humu, itafika tu siku, unataka kwenda sehemu unaambiwa huruhusiwi kukanyaga hapo. Ndipo kila mtu atatamani siku zirudi nyuma akili iwe inafanya kazi. Too late